Uchaguzi 2020 Open letter to the National Electoral Commission of Tanzania

Very Important reminder
 
Wamemlima barua tena??
 
Reactions: BAK
Naona kichwani umejaa mapupu! Kwa sheria gani unazoziona.wewe? Kuna nchi gani duniani ina sheria Rais, AG, Speaker, NEC, DPP hawawezi kushitakiwa kwa makosa waliyoyafanya kwa kutumia kito cha ofisi? Nitajie nchi moja tu duniani, moja tu. Upumbavu mtupu! Kwani wakati wa ukoloni kulikuwa hakuna sheria? SA under apartheid regime kulikuwa hakuna sheria? Sheria gani zilzokuwa partial na selective? Hata mimi siwezi kutii hizo sheria inapotokea nafasi ya kutozitii! Sheria inakataza kunyima uhuru wa kupata na kutowa habari? Hata hapa JF unapojifaraguwa basi hao unaowatetea basi wangekuwa na uwezo wangepafunga. No Insta, no twitter, no whatssapp, no facebook no f*ck all!
 
Should it be necessary, we will undertake judicial review of the
disqualifications as provided for in the National Elections Act; we will trigger international
investigations by relevant United Nations Special Rapporteurs and the African Commission on Human
Rights; and we will advocate for international sanctions against those who have denied free and fair
elections for the people of Tanzania. We hope and expect such actions will be unnecessary.
 
Reactions: BAK
Kaandika kwa niaba ya mteja wake...hivi kweli hulijui hili?

Jr[emoji769]
Should it be necessary, we will undertake judicial review of the
disqualifications as provided for in the National Elections Act; we will trigger international
investigations by relevant United Nations Special Rapporteurs and the African Commission on Human
Rights; and we will advocate for international sanctions against those who have denied free and fair
elections for the people of Tanzania. We hope and expect such actions will be unnecessary.
 
Reactions: BAK
Unamuhusu mteja wake. Ni uamuzi wa tume na jiwe akipate au asikipate.
Should it be necessary, we will undertake judicial review of the
disqualifications as provided for in the National Elections Act; we will trigger international
investigations by relevant United Nations Special Rapporteurs and the African Commission on Human
Rights; and we will advocate for international sanctions against those who have denied free and fair
elections for the people of Tanzania. We hope and expect such actions will be unnecessary.
 
Reactions: BAK
The shocking disparity of treatment in the approval of CCM and opposition candidates is blatant and deeply problematic.”[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]

Jr[emoji769]
Mwenzao Sirro kashajinasua kwenye Mtego wa Amsterdam kakubali yaishe. We mwache tuhuyo Winston na Kaijage.
 
Reactions: BAK
πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½

We all know that the electoral commission is not independent and we all know too that Mr. Magufuli is breathing down the cheek of the commission's chairman.

You cannot substantiate the allegation that the letters attributed to Mr. Robert Amterdam are written by Tundu Lissu but It's rather your foolish fabrication to taint the image of Tundu Lissu.

Unfair disqualification of the opposition parties' candidates is a stratagem that the now unpopular ccm party has been relying on as a means to securing a walkover at various elections and by elections for sometime now.

However, it remains to be seen whether the discredited electoral commission will fairly handle the complaints tendered before them, notably, by the opposition parties candidates bearing in mind the commission's regular tendency of unfairly favouring the ruling ccm party but for the time being, we can wait to see what will happen.
 
Matusi hayakusaidii mzee; hasira hizi zinaweza kukufanya ukala sumu unapopania mambo halafu ukayakosa. Ni tabia ya wapumbavu kama wewe kudhani kuwa ni wanajua kumbe kichwani wako tupu tu. Ukishaona kelele nyingi na matusi ujua shelf kichwani halina kitu.

Kwa kukusaidia ni kuwa: Ukiona sheria mbovu, pigania ziondolewe kwa taratibu za kisheria lakini siyo kuzivunja; ukizivunja zinakubamiza.

Halafu kumbuka kuwa hakuna nchi yoyote duniani hapa, ukiacha Israeli tu, ambapo rais anashitakiwa kwa makosa ya kikazi, anaweza kushitakiwa kwa makosa aliyofanya kabla hajaingia madarakani lakini siyo kwa makosa ya kikazi. majuzi tu Trump ameendesha kampeini za kisiasa akiwa White house ikiwa ni kuvunja sheria ya Hatch Actya mwaka 1939 lakini hakuna atakayemshitaki. Kwa hiyo unayofikira wewe ni njonzi tu.

Najua unaongea kwa hasira bila kutumia hata chembe ya hbusara lakini haikusaidii wewe binafsi na wala haimsaidii candidate wako, sana sana itakuwa inakuumiza sana psychologically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…