Open Letter: Tundu Lissu's return to Tanzania

Msaliti wa taifalako ni CCM ndio katufikasha hapa tulipo.
Wamesaini mikataba ya hovyo,wanauza mali zetu,wanagawana mali zetu wenyewe kwa wenyewe leo unataka kumlaumu Lissu au mpinzani kwa lipi alilofanya.
Ebu nionyeshe mpinzani ambaye hakuwahi kuwa ccm. Tena inawezekana wakati mikataba hiyo inasainiwa wote walikuwa bado wako ccm!
 
Huu ujinga wa kesi kesi za kubambikiwa mungu ataukataa huko mahakamaccm yatatokea muujiza, kaa huko na roho zenu za kukomoana mkizani watanzania ni wajinga kihivyo, akili za wadhamini kununuliwa zinajulikana hujuma zote juu ya kesi kesi haramu za Tundu lisu zinajulikana, mahakamaccm napo wapo wenye utu na huruma wanampa taarifa zote Lisu anajipanga kuwakabili makaburu kwa nguvu za mungu, wadhamini ndiyo waliompiga risasi akaenda ulaya kutibiwa? Kwani wadhamini wamejitoa fahamu hawajui ni kwa nini hakuwepo Nchi kuendelea na kesi za kubambikiwa? Mungu yupo atamlinda kama alivyomlinda akawa hai mpaka sasa
 
Kwa sasa Dunia haina mbabe kama enzi zile za kuiogopa Merekani!
Uchaguzi ukimalizika itokee Democracy wakaingia white house ule ubabe wa akina Regan utarejea na ndiyo utakuwa mwisho wa zile Serikali onevu kwa wapinzani
 
Aaaah! Lisu amejipanga aisee! Ndiyo maana anarudi akiwa kifua mbele.
Wachunguzi wa mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague wapo hapo Tanzania wanafuatilia kila upepo
 
Utitiri wa kesi kesi haramu za CCM dhidi ya Tundu zinazidi kumuongezea huruma umaarufu toka kwa wananchi na taasisi za haki za binadamu Duniani, CCM wao wanajua wanamkomoa Tundu lisu kumbe wanazidi kujiaibisha zaidi
 
Waliomgusa so ni chadema wenyewe! Huyu Lisu hajajifunza hata kidogo kutokana na zile blanko za Chadema! Kwa Nini anajiweka Tena Kuwa target wa maadui was serikali yetu na maendeleo yetu! Huyu kweli ni siokio lisilosikia dawa! Poor TL!😱!
Mungu anamlinda hata kwa propaganda za CCM kukariri ujinga wa cyprian Musiba kuwa zile zilikuwa blankoo za chadema, huo uchonganishi wa kishamba wenye Akili timamu waliukataa kitambo umebakia kwa wajinga wachache huko CCM.mungu yupo na mungu ndiyo kumuongoza kurejea kuja kuwakabili makaburu weusi wa Tanzania.
 
Hao mawakili wanamjaza tu Lisu upepo, ila watambue Magufuli ni mtu wa misimamo thabiti hata ikiwa misimamo mibaya hakuna wa kumyumbisha.
Anayumbishwa sana Mbona mpaka leo hajamuambia Bashite alete vyeti vyake wakati alipiga vita juu ya vyeti Bandia?
 
Tayari wadhamini wanachunguzwa na vyombo vya uchunguzi wa kimataifa taarifa zao zote zitaabikwa wazi ulimwengu utashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…