Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Kiazi huyo hajielewiUnasema???? Waulize Iran na Venezuela???
Muulize Nkurunzinza Kwa nini aliamua kuachia madaraka?? Muulize kabila Kwa nini aliamua kuachia madaraka??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiazi huyo hajielewiUnasema???? Waulize Iran na Venezuela???
Muulize Nkurunzinza Kwa nini aliamua kuachia madaraka?? Muulize kabila Kwa nini aliamua kuachia madaraka??
Ndio huyo huyo.Mchina si ndiyo huyo huyo walishindwana na magu kwenye SGR na Bagamoyo Port?? Au kuna mchina mwingine wa South America??
Mbwa hawezi jua hayo mamboNot true!Time will tell. Unajua picha za satellite zinaonyesha kila kitu!
This to me is somewhat counterintuitive!
Why?
Because, why would the same government that Mr. Lissu accuses of trying to assassinate him, now be asked or be expected to provide for his personal protection upon his return?
Does Mr. Lissu now trust the very same people whom he accuses of wanting to kill him?
Maybe this is just an attempt to preempt another attempt...
But, what do I know! I’m just a high school dropout.
Mabeberu
Ingelikuwa tunajitegemea alau kwa asilimia sitini ungekuwa sahihi. Aidha ulikuwa mtoto enzi za Mwalimu au hukuwa umezaliwa...Utopolo mtupu, hawana lolote hao! They are toothless dogs!
Na tusubiri tuone KIFUATACHOAu ni ule usemi wa kiswahili kuwa "Mchawi mpe mwanao akulelee" Yawezekana kuna maana hiyo na inaweza kufanya kazi?
Cdf kajiingiza kwenye siasa za ccm ndio maana atajwa kizembe namna hiyo.Hadi CDF anatajwa kwenye ujinga Kama huu?
huna kitu kichwani punguani ww, huna hoja, mihemko tu, elimu yenyewe ya kuunga unga, kuwa makini mtotoAkili zenu mnazijua ninyi tu[emoji28][emoji28][emoji28], kwa hiyo mnategemea Lissu atakuwa Rais wa JMT?
Popularity ? Yaani watu wanafanya vitu serious unaita popularity ?Chadema ndugu zangu mnatafuta popularity kwa juhudi kubwa sana!
Huyo jamaa ana are arest warrant kutoka mahakamani alikokimbia kesi hadi wadhamini wake walitaka kujitoa!
Watakao mkamata wa kwanza ni wadhamini wake wampeleke mahakamani akajibu kwa nini amekuwa mtoro kuhudhuria mahakamani hata baada ya kupona majeraha ya risasi!
Sio mambosasa,wala Diwani Athumani au yeyote aliyeandikiwa hiyo barua atamkamata Lisu! Ila wale wadhamini wake ndiyo wanamsubiri kwa hamu kubwa
Umemsoma huyo alivyosema awali ...kwamba wengine wote wanaounga mkono CCM their necks will be broken...sasa unaonaje hiyo?Mkuu vyema kuchagua maneno ya kufaa. Tumeshachafuka kimataifa, hatua zozote watakazoamua kama ni hasi ni suala la muda kabla halijamgusa kila mwananchi. Usione fahari kuuawa wenzio kwa sababu tu utofauti wa kimtazamo. Ni upumbafu, kama kweli unaipenda nchi yako kwa sababu madhara yanaweza kuwa makubwa zaidi
Kupona majeraha ya risasi alizopigwa na nani vile, tukumbushe mkuu tafadhali. Tuambie vile vile huyo/hao waliompiga risasi wako nje kwa dhamana? wadhamini wao hawajajitoa bado?Chadema ndugu zangu mnatafuta popularity kwa juhudi kubwa sana!
Huyo jamaa ana are arest warrant kutoka mahakamani alikokimbia kesi hadi wadhamini wake walitaka kujitoa!
Watakao mkamata wa kwanza ni wadhamini wake wampeleke mahakamani akajibu kwa nini amekuwa mtoro kuhudhuria mahakamani hata baada ya kupona majeraha ya risasi!
Sio mambosasa,wala Diwani Athumani au yeyote aliyeandikiwa hiyo barua atamkamata Lisu! Ila wale wadhamini wake ndiyo wanamsubiri kwa hamu kubwa
Daa.. Ni Kama watoto kuomba ulinzi wasiumizwe na baba yao. Inasikitisha sanaAmong hayo 'mambo yake' ni kuheshimu katiba na sheria ikiwemo ya kulinda raia wake. Hili la kulinda raia wake serikali hii imeshindwa kiasi kwamba raia amomba ulinzi nje dhidi ya serikali yake. Hii kwa kweli mkubali mkatae ni aibu kubwa!
Fundi nakuitaaaa ....!!! [emoji44]Bado Mchina hajawa na nguvu ya kutusaidia mbinyo wa Marekani!!
Tupo pabaya sana kwenye tanuru la moto hao wote walio tajwa apo wapo kwenye 18 zao!! MUNGU atuepushe na hili balaa maana tunatafutwa kama madini Adim!
Mkuu hatu chomoki kwenye haya makucha aisee jiwe amesha tuingiza pabaya!Fundi nakuitaaaa ....!!! [emoji44]
Nazani Nchi hii Sasa imeingia kwenye 18 zao hawa watu.
Na ushamba huu wa madarakani wa kupenda kusifiwa, sidhani kama atashauri vizuri Kwa uzito huu wa hii Barua.
Wakuu,Wakuu,
Salaam.
Nimeziunganisha barua hizi hapo chini kama mnavyoona.
Kwa ufupi hawa jamaa wamekusudia kutoa onyo kwa wahusika endapo jambo lolote baya litamkuta mteja wao watachukua hatua stahili.