Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna watu wepesi na wapumbavu kama wazungu. wahiyo hapo kwa akili yao wamemtisha Sirro au? Alafu aliEwaambia sie tunaelewa kilugha chao ni nani? Au wanamfurahisha Lissu?Wakuu,
Salaam.
Nimeziunganisha barua hizi hapo chini kama mnavyoona.
Kwa ufupi hawa jamaa wamekusudia kutoa onyo kwa wahusika endapo jambo lolote baya litamkuta mteja wao watachukua hatua stahili.
Kweli raha jipe mwenyewe.Kumekucha Tanzania........
Hawa jamaa watasababisha vitanda visilalike kule Chamwino!
Samesema government conduct to be monitored and documented. Any potential acts of violence interference or intimidation will result in permanent consequences.Silo alisema wanangoja akifika wamkamate ngoja tuone hii muvi
Mkuu mbona uko TOO RADICAL na too extreme katika udadavuaji wako wenye busubusu la CONSPIRACY THEORY?!!!Manuona Mchina akijenga Bandari ya Bagamoyo kwa nini?
Mzee baba hawezi kukubaliana na kejeli ambazo TL,ZZK,BM na FM wakipanda jukwaani na kuwaambia Wananchi kwamba miradi yote ambayo anasifiwa kaifanya ni Tembo Mweupe.
Ili gurudumu la Maendeleo liweze kwenda Mzee Baba itabidi arudi kujenga ushirikiano tena na Uchina. Maana Mabeberu wataweka Vikwazo.
Swali je Mchina atakuja na Masharti gani?
Mchina si ndiyo huyo huyo walishindwana na magu kwenye SGR na Bagamoyo Port?? Au kuna mchina mwingine wa South America??Manuona Mchina akijenga Bandari ya Bagamoyo kwa nini?
Mzee baba hawezi kukubaliana na kejeli ambazo TL,ZZK,BM na FM wakipanda jukwaani na kuwaambia Wananchi kwamba miradi yote ambayo anasifiwa kaifanya ni Tembo Mweupe.
Ili gurudumu la Maendeleo liweze kwenda Mzee Baba itabidi arudi kujenga ushirikiano tena na Uchina. Maana Mabeberu wataweka Vikwazo.
Swali je Mchina atakuja na Masharti gani?
Nimesoma Kwa Utulivu mno....
Duuh guys...
Ila Kuna sehemu ninataka nianze kudadavua....
Wateja wa KIMATAIFA wa TL WANADAI "he was subsquently denied of his statutory medical benefits"......
Hawakufafanua zaidi juu ya Hilo....
Ni kazi yetu kuulizana.......
Mbona mh.Spika Ndugai ALILITOLEA UFAFANUZI.....
Spika alisema baada ya tu kushambuliwa mh.TL na kukimbizwa DODOMA GENERAL HOSPITAL,Dr Ulisubsya Mpoki Mwasumba(aliyekuwa katibu mkuu) ambaye KIPROFESHENI ni daktari bingwa wa USINGIZI(theatre) na DHARURA(emergencies) na madaktari WENZAKE walijitolea KUMHUDUMIA NA KUMRUDISHA mh.Lissu katika UHAI...kumbuka MUDA huo wa dharura ndio muhimu mno kuokoa uhai zaidi ya matibabu yafuatayo......
Nitaendelea
Wakina Dr.Ulisubisya Mpoki Mwasumba na wenzake wakiwekewa MKONO wa baraka na BWAÑA wakafanikksha kumSTABILIZE mh.TL ambako kiafya angeweza KUSAFIRISHWA KWA NDEGE.....kumbuka wasingethubutu kumsafirisha akiwa na ile Hali waliyompokea kwani YANGEKUWA MENGINE...wakati FARASI akiTAKE OFF.....
OFISI ya spika ikafanya utaratibu wa kutafuta NDEGE YA KUKODI KUJA DAR...Muhimbili...hapa Ndipo walipokataa kina mh.Mbowe.......
Kina mh.Mbowe walikuwa na STAND kuwa TL apelekwe Nai Kenya....ilihali KISHERIA BUNGE Lina mandate ya kuidhinisha kiNHIF(bima ya afya ya taifa) kuwapeleka wagonjwa MUHIMBILI(MNH).
Na ili umtoboleshe mgonjwa Kenya ama mamtoni ni lazima KISHERIA RAIS AANGUKE WINO.....
Sasa ukifikiri kwa hoja ya mh.Spika unaona usiku ule...Rais angeanguka wino kutoa ruhusa saa ngapi huku mgonjwa Yuko ktka emergency?!!Ni kwanini mh.Mbowe ASIKUBALI mh.TL apelekwe MUHIMBILI then wasaa ukifika wa ile ruhusa kutoka Mamlaka za juu....ya kuweza kumpeleka WALIKOTAKA...Ila ukifikiri kwa hoja ya mh.mbowe ya labda alikuwa na hofu ya saftety yà TL kupelekwa MNH?!!!
So ukiangalia KISHERIA ya kusafirisha wagonjwa basi UTAMAIZI spika alikuwa on the RIGHT POSITION Katika HATUA hii ya maslahi ya AFYA YA MGONJWA.....and where "does TL denied his statutory health benefits wanakosemea MABWANA WALETA BARUA"?!!!
NITAENDELEA

Kumpiga chura teke ni kumuongezea hatuaWakuu,
Salaam.
Nimeziunganisha barua hizi hapo chini kama mnavyoona.
Kwa ufupi hawa jamaa wamekusudia kutoa onyo kwa wahusika endapo jambo lolote baya litamkuta mteja wao watachukua hatua stahili.
The Hague SI Jambo rahisirahisi....Ila umakini ni lazima UWEPO....Kwa barua hiyo naona kuna watu wameshaanza safari ya "The Hague" wakimwacha kocha uwanjani
Sure....nadhani kisiasa hlo barua halimuongezei FAIDA mh.TL labda Ni hatua ya kujilinda kiusalama wake TU.....Hawajui kuwa kwa barua kama hizo ndo wanatufanya tumwone kuwa ni msaliti zaidi kwa taifa letu, na kwamba anatumiwa na mabeberu ambao hata akipata uongozi atafanya mambo ili kuwafurahisha?
Wanasimamia usalama wa nani?Watu wanatekwa,wanapotea,wanatesawatu,wanauwawa wanapewa sumu kama wakina mangula hao wazalendo wako hawaja mshika mhalifu hata mmoja.The Hague SI Jambo rahisirahisi....Ila umakini ni lazima UWEPO....
Nadhani ni kpnd Cha kuwa makini mno labda kulko kpnd chengine katika changamoto za diplomasia ukiacha kpnd Cha Vita ya kagera ambayo wengi wetu tulikuwa hatujazaliwa.
Ukiangalia BAN wanazopiga wahusika Mara nyingi wanatanguliza kuyatoa majina na km likitokea BAYA wao wanaFREEZE akaunti zako na maslahi yako nje na kuanza kukuandama....huwa hawaendi nchi husika nimesoma mahali kuwa huwa wanamvizia mlengwa akitoka nje ya nchi ndo wanafanya unyambisi wao aaagh hyo barua IMENIUMIZA SANA hasa kule kutajwa hadharani MAJINA ya wazalendo wetu wanaosimamia usalama wetu wa KILA siku Aya bnaa time will tell
DuuuhWanasimamia usalama wa nani?Watu wanatekwa,wanapotea,wanatesawatu,wanauwawa wanapewa sumu kama wakina mangula hao wazalendo wako hawaja mshika mhalifu hata mmoja.
Kwahaya yaliyo tokea hata chizi anajua muhusika ni nani..
Ukipanda chuki utavuna chuki serikali ya CCM ina roho mbaya sana kwao kumtoa mtu uhai kwasababu ya madaraka ni kitu kidogo sana..
Msaliti wa taifalako ni CCM ndio katufikasha hapa tulipo.Hawajui kuwa kwa barua kama hizo ndo wanatufanya tumwone kuwa ni msaliti zaidi kwa taifa letu, na kwamba anatumiwa na mabeberu ambao hata akipata uongozi atafanya mambo ili kuwafurahisha?
Kwa watanzania walivyochoka na hali hii ngumu ya maisha , na kwa jinsi watanzania wasivyopenda uonevu, alafu kwa haya CCM na polisi wanayowafanyia Lissu na Chadema, nakwambia ndugu yangu CCM wakishinda uchaguzi wa mwaka huu najitoa JFYaani nyie watu huwa nawashangaa sana, na ww unakaa Unawaza kabisa eti Lissu atashinda mbele ya magufuri.!!!!!
Nyie kamilisheni utaratibu tu, Magufuri yeye ndio atapita kwa namna yoyote ile
Among hayo 'mambo yake' ni kuheshimu katiba na sheria ikiwemo ya kulinda raia wake. Hili la kulinda raia wake serikali hii imeshindwa kiasi kwamba raia amomba ulinzi nje dhidi ya serikali yake. Hii kwa kweli mkubali mkatae ni aibu kubwa!Tanzania Ni Nchi Huru
Inajiamulia Mambo Yake, Siyo Mabeberu!!!
Your neck will be first be broken..always imperialists symphasizers will be the first to die...That sovereighnity is the devil's hiden secret ...you kill people intentionally because of political interest not otherwise! I know this letter is nothing to you until your stiff neck is broken!