Open Letter: Tundu Lissu's return to Tanzania

Open Letter: Tundu Lissu's return to Tanzania

Stupid guys...very stupid indeed...how could you interfere with our affairs?! Stupid colonialists/imperialists.,stupid democracy..
That sovereighnity is the devil's hiden secret ...you kill people intentionally because of political interest not otherwise! I know this letter is nothing to you until your stiff neck is broken!
 
Hapo nyuma nilikuwa simuungi mkono Lisu ila nahisi labda ndo our Saviour kutoka maisha ya kijinga tunayoishi kwa sasa...mimi na graduates wengine tunataabika kwenye uongozi wa huyu Mkulu
Na mtabakia kuwa graduates wapumbavu forever.Umesoma degree ya 'horticulture' halafu unategemea mambo makubwa.Nenda ukalime maua huko na utatoboa kuliko kumshabikia lissu ambaye ameshapoteza uelekeo.Anadhani kuandika haya mabarua na kutoa copy za kipuuzi ndiyo anatengeneza .Anazidi kuharibu.
 
Wanaume wanataka kumuonyesha show mshamba mmoja hivi aliyedhani kwamba yeye ni dunia heti kwa kuwa anavimamlaka vya hovya alivovyobebeshwa na wahuni wachache wa chama chake KIUFUPI DUNIA INA FUNZO KUBWA SANA KUWAHUSU WAKINA HITTLER NA BENITO kwani baada ya kuwapuuza walileta madhara makubwa sana kwa ulimwengu
 
Pia it sounds kama vile hawa jamaa wanawapiga mkwara waliowataja na ukiangalia vizuri unaweza sema Wana blackmail this leaders of our sovereign state..not that I want/wish anything bad to happen to their so called client but who the hell they think they are to make Demands!?...All mentioned individuals take orders from our elected leader only and no any local or foreign entity can push them around regardless of the situation at hand...now I understand why the ruling party is sometimes refering to these individuals as the agents of foreign exploiters.

You are so blunt...

The personal rights are demanded and not requested...

You are not free and sovereign if you are confined to this world....!
 
Tanzania Ni Nchi Huru
Inajiamulia Mambo Yake, Siyo Mabeberu!!!
Uhuru huo mliupata kwa njia ipi au huu wa bendera aliokabidhiwa jk nyerere kama maandazi huko uingereza? think big nigga
 
Wewe unaidangamya hata nafsi yako mwenyewe..

Haya basi! Lisu atashinda na kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia chadema

Ndugu ya kesho huyajui...

Na kama huyajui, maana yake anything can happen...

Wewe unadhani wanaokwendaga kufa ama kuanguka huwa wamepanda kwenye gari bovu?

Gari huwa ni zima kabisa likiwa na
service ya kutosha...

Sasa wewe unashangaa kwa kuwa CCM na Magufuli kuanguka haiwezekani. Why?

Eti ni kwa sababu;
å Wao wana JWTZ
å Polisi
å TISS
å NEC
å Sheria za uchaguzi zinaibeba nk nk

Kama unawaza hivi, unajindanganya. Na kama nilivyosema hapo awali, HUYAJUI YA KESHO. HUJUI MIPANGO YA MUNGU...

Nchi zingine tawala za muda mrefu zilivyoanguka, walikuwa wanajiamini kuliko ninyi mnavyojiamini leo....

Lakini Bahati mbaya MAJIRA na NYAKATI hayakuwa upande wao...!!
 
Am sorry to say, but I discourage all African parents planning to send their children overseas to be educated...Don't do it..some of them are easily assimilated and sent back to our societies to pollute the rest of the population...very sad.
If I may ask, are you a cave dweller?
 
Stupid guys...very stupid indeed...how could you interfere with our affairs?! Stupid colonialists/imperialists.,stupid democracy..
Affairs yenu ni kuuwa watu, kufunga BILA makosa,kutesa ,kupoteza watz wanaokuwa kinyume na matakwa yenu? KAMA NDIVYO BASI NINYI MTAKUWA MNA DUNIA YENU YA CHTL
 
Yaani nyie watu huwa nawashangaa sana, na ww unakaa Unawaza kabisa eti Lissu atashinda mbele ya magufuri.!!!!!

Nyie kamilisheni utaratibu tu, Magufuri yeye ndio atapita kwa namna yoyote ile
"Namna yoyote ile" wananchi wataikataa, kwa hiya siyo "aina yoyote ile", umeelewa?
 
Ata useme vipi magufuri ndio atapita, nyie mnakuwa kama mapopoma inamaana mpka leo hamjui ccm huwa inafanya nn. Nyie nendeni mkakamilishe ratiba tu,
Kwani kuna anayekulazimisha usiamini hivyo?

Wewe subiri hadi uone matokeo.
 
Wakuu,
Salaam.
Nimeziunganisha barua hizi hapo chini kama mnavyoona.
Kwa ufupi hawa jamaa wamekusudia kutoa onyo kwa wahusika endapo jambo lolote baya litamkuta mteja wao watachukua hatua stahili.
 

Attachments

  • amsterderm-lissu1.jpeg
    amsterderm-lissu1.jpeg
    69.5 KB · Views: 1
  • amsterderm-lissu2.jpeg
    amsterderm-lissu2.jpeg
    91.8 KB · Views: 1
Manuona Mchina akijenga Bandari ya Bagamoyo kwa nini?

Mzee baba hawezi kukubaliana na kejeli ambazo TL,ZZK,BM na FM wakipanda jukwaani na kuwaambia Wananchi kwamba miradi yote ambayo anasifiwa kaifanya ni Tembo Mweupe.

Ili gurudumu la Maendeleo liweze kwenda Mzee Baba itabidi arudi kujenga ushirikiano tena na Uchina. Maana Mabeberu wataweka Vikwazo.

Swali je Mchina atakuja na Masharti gani?
 
Nimesoma Kwa Utulivu mno....

Duuh guys...

Ila Kuna sehemu ninataka nianze kudadavua....

Wateja wa KIMATAIFA wa TL WANADAI "he was subsquently denied of his statutory medical benefits"......

Hawakufafanua zaidi juu ya Hilo....
Ni kazi yetu kuulizana.......

Mbona mh.Spika Ndugai ALILITOLEA UFAFANUZI.....
Spika alisema baada ya tu kushambuliwa mh.TL na kukimbizwa DODOMA GENERAL HOSPITAL,Dr Ulisubsya Mpoki Mwasumba(aliyekuwa katibu mkuu) ambaye KIPROFESHENI ni daktari bingwa wa USINGIZI(theatre) na DHARURA(emergencies) na madaktari WENZAKE walijitolea KUMHUDUMIA NA KUMRUDISHA mh.Lissu katika UHAI...kumbuka MUDA huo wa dharura ndio muhimu mno kuokoa uhai zaidi ya matibabu yafuatayo......

Nitaendelea
 
Back
Top Bottom