Humuwezi bila polisi na bao la mkono.Kwa hiyo hapa kuna dikteta nae atakamatwa kama kina Gadafi?
Subirini kipigo hiyo oktoba, na wala hizo barua hazitawaongezea kura!
Kura zipo huku field ambako Lisu na chadema hawajui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humuwezi bila polisi na bao la mkono.Kwa hiyo hapa kuna dikteta nae atakamatwa kama kina Gadafi?
Subirini kipigo hiyo oktoba, na wala hizo barua hazitawaongezea kura!
Kura zipo huku field ambako Lisu na chadema hawajui
Najaribu ku zoom makali ya hiyo barua: najiuliza nikipata mteja kama Bob wine kisha nika mdunda barua IGP wa Uganda barua kama hii. Itakuwa na mashiko yoyote?Utopolo mtupu, hawana lolote hao! They are toothless dogs!
Hoja ya kuita watu vibaraka wa mabeberu ni hoja za kimama sana
Kuna uonevu unafanyika kuhusu haki za binadamu na uhuru wao,ametokea mtu no matter who he is,ameamua kuunga juhudi za kutokomeza huu uonevu
Then wewe muonevu unam-judge unaemuonea eti anasaidiwa na mtu fulani adui yake..
Uaudi wenu does not make any sense to me,infact ndio mzuri maana unanisaidia mimi kupambana na wewe maana adui yako ndio rafiki yangu against wewe.
Utawala wa mawe unasema umeenda kujiunga na "mabeberu",ulitegemea tujiunge na nani kama sio kujiunga na maadui zako kukemea uonevu unaofanya?
This is nonsense!
Mmajaribu kwa nguvu nyingi sana kuprovoke mpate sympathy! Mkija kishali bakora ziko pale paleView attachment 1516485
View attachment 1516487
View attachment 1516486
1054 31ST ST. NW, STE 110 WASHINGTON, D.C. 20007
+1 202 301 8811
OPEN LETTER
TUNDU LISSU’S RETURN TO TANZANIA:
GOVERNMENT CONDUCT TO BE CLOSELY MONITORED AND
DOCUMENTED; POTENTIAL ACTS OF HARASSMENT,
INTERFERENCE, OR VIOLENCE WILL RESULT IN CONSEQUENCES
ADDRESSED TO:
Simon Sirro, Inspector General of Police; Diwani Athumani Msuya, Director General of the Tanzania
Intelligence and Security Service; Lazaro Mambosasa, Dar es Salaam Special Zone Regional Police
Commander; Biswalo Mganga, Director of Public Prosecutions; Robert Boaz, Director of Criminal
Investigations, Tanzania Police Force; Liberatus Sabas, Director of Operations, Tanzania Police Force;
Brigadier General John Mbungo, Director General of Prevention and Combating of Corruption Bureau; General Venance Mabeyo, Chief of Tanzania Defence Forces; Aboubakar Kunenge, Dar Es Salaam Regional Commissioner
CC:
António Guterres, Secretary General of the United Nations; Michelle Bachelet, UN High Commissioner for Human Rights; David Kaye, UN special rapporteur on freedom of expression; The Rt Hon Patricia
Scotland QC, Commonwealth Secretary-General; Cyril Ramaphosa, President of South Africa and
2020 head of the African Union; Moussa Faki Mahamat, Chairperson of the African Union
Commission; Josep Borrell, High Representative of the Union for Foreign Affairs and Security Policy; Dominic Raab, Foreign Secretary of the United Kingdom; Steven T. Mnuchin, United States Secretary of Treasury
23 July 2020
Honourable Officials,
Amsterdam & Partners LLP is profoundly and urgently concerned for the safety and security of our client and opposition leader, Mr. Tundu Lissu upon his planned return to the country scheduled for the 27th of July 2020. Mr. Lissu narrowly survived an assassination attempt in 2017 in which he was shot 16 times following public criticism of the government. He was subsequently denied of his statutory medical benefits and was eventually stripped of his parliamentary seat while still undergoing medical treatment and therapeutic care.
Mr. Lissu has now declared his intention to return to Tanzania and to campaign for the presidency of the United Republic of Tanzania in the forthcoming general elections. We demand that Mr. Lissu’s constitutional rights to freedom of expression, assembly and movement are respected and not infringed nor interfered upon by the Government of Tanzania or its security agencies. We expect that the Government of Tanzania and its security agencies will afford Mr. Lissu with the necessary personal protection, especially given the fact that he has already been a victim of a failed but unresolved assassination attempt.
With this letter, we notify you of our intention to hold accountable all public servants in the current administration of the Government of Tanzania with regard to the human rights, civil rights, and physical safety of the opposition leader and MP Mr. Tundu Lissu upon his planned return to the country scheduled for the 27th of July 2020.
Unfortunately, the current leadership has acted with brazen impunity with regard to human rights, and especially with regard to its treatment of the legitimate democratic opposition. Leaders, members and activists of the democratic opposition have been murdered, abducted and forcibly disappeared, tortured or persecuted through the use of trumped up and politically-motivated criminal charges and falsely imprisoned. Amnesty International has described these attacks and arrests as “a calculated move to harass and intimidate the opposition and critics ahead of elections, restrict their human rights and limit their campaigning.”1
According to the 2020 Human Rights Watch country report on Tanzania, Magufuli’s government has abused its powers under the Registrar of Political Parties to “demand information from political parties, to suspend individual members of political parties, and required institutions or individuals to get approval from the Registrar to conduct civic education, or face criminal sanctions including imprisonment or fines.”2 Soon after this report was released, at least nine prominent opposition party members were heavily fined on dubious charges for sedition, incitement to violence, and holding an unsanctioned rally.
Meanwhile, the Magufuli and the Chama Cha Mapinduzi administration has shown no tolerance for criticism of their abuses and no willingness to uphold transparency. In 2018, the European Union was forced to recall its ambassador to Tanzania, citing “the deterioration of the human rights and rule of law situation.”
As the international legal team acting on behalf of Mr. Lissu, we notify the potential human rights abusers within the government that their actions will have permanent consequences. Should Mr. Lissu’s rights be violated upon his return, it is our intention to file immediately for measures in response before all relevant local, regional, and multilateral bodies. This would include but not be limited to mechanisms for ensuring the respect by Tanzania of its domestic and international obligations to protect human rights.
This set of potential responses to any harassment or interference with Mr. Lissu’s rights will also entail applications against Tanzanian law enforcement officials for sanctions under the Global Magnitsky Act
1
https://www.amnesty.org/en/latest/news/2020/06/tanzania-opposition-politicians-arrested-ascrackdown/
2 World Report 2020: Rights Trends in Tanzania
3
against state officials facilitating human rights abuses or corruption.4 The potential ramifications of these sanctions are designed as a powerful deterrent against individuals who are deemed responsible for abuses of the law. Such individuals in Tanzania could face the freezing of bank accounts, seizures of assets held internationally, and revocations of travel visas for them and their families. Many Tanzanian officials and their proxies choose to do their banking internationally, hold assets abroad, and send their children to study in the United Kingdom, the EU, and the USA. If sanctions are applied against such Tanzanian officials, they would not be able to travel to Europe or the United States and would be barred from accessing the international financial system in countries which enforce such sanctions laws.
We are thus counting upon the authorities in Tanzania to respect Mr. Lissu’s rights from the moment of his return and not to impede him, directly or indirectly, from exercising his rights in seeking election to the presidency.
Sincerely,
Robert R. Amsterdam
Founding Partner, Amsterdam & Partners LLP
4
Global Magnitsky Act - United States Department of State
YanawapandaMabeberu
Kwa Phd holder flani hiviDunia hii kusoma ni kitu chengine na ushamba wa asili hautoki hata kama umesoma!
Hao mawakili wanamjaza tu Lisu upepo, ila watambue Magufuli ni mtu wa misimamo thabiti hata ikiwa misimamo mibaya hakuna wa kumyumbisha.Hii inaitwa ukisimama nchale ukikaa nchale, CCM wametaitishwa kwenye angle ngumu sana mwaka huu.
Go Lissu . Our President from October 2020
Mzee Mkapa aliwahi kusema hayati Nyerere angekuwa hai angeshuhudia ubeberu ulivyoleta maendeleo nchini.Mabeberu
Wewe unaweza kuitwa mpumbaf, arrest warrant uliandika wewe?Chadema ndugu zangu mnatafuta popularity kwa juhudi kubwa sana!
Huyo jamaa ana are arest warrant kutoka mahakamani alikokimbia kesi hadi wadhamini wake walitaka kujitoa!
Watakao mkamata wa kwanza ni wadhamini wake wampeleke mahakamani akajibu kwa nini amekuwa mtoro kuhudhuria mahakamani hata baada ya kupona majeraha ya risasi!
Sio mambosasa,wala Diwani Athumani au yeyote aliyeandikiwa hiyo barua atamkamata Lisu! Ila wale wadhamini wake ndiyo wanamsubiri kwa hamu kubwa
Jifunike makuti jifikirie vizuri acha kukurupuka, tutasafisha mpaka Amsterdam.. Don't try to underestimate the power of our country and our his excellent president John Magufuli.Hii inaitwa ukisimama nchale ukikaa nchale, CCM wametaitishwa kwenye angle ngumu sana mwaka huu.
Go Lissu . Our President from October 2020
The world is watching what ? We are not here to be watched and let me tell you that this time Lissu is not our subject.There are lot of things to do and more important than your hopeless Lissu and that letter is as good as useless.The message is short and clear. It means the world is watching and if you do anything on him international criminal measures will be taken against you!
Wanaume wameshikwa makende,ole wao mtu aguswe!!Tanzania Ni Nchi Huru
Inajiamulia Mambo Yake, Siyo Mabeberu!!!
Adui wa vitendo vibovu vya mawe sio adui wa WatanzaniaAdui yako ndio rafiki yangu against wewe this implies Adui wa Serikali ya Magu means Lisu ndie rafiki wa Mabeberu against serikali ya Tz, well said
HahahahahahaaaaaaaaaaaaaChadema ndugu zangu mnatafuta popularity kwa juhudi kubwa sana!
Huyo jamaa ana are arest warrant kutoka mahakamani alikokimbia kesi hadi wadhamini wake walitaka kujitoa!
Watakao mkamata wa kwanza ni wadhamini wake wampeleke mahakamani akajibu kwa nini amekuwa mtoro kuhudhuria mahakamani hata baada ya kupona majeraha ya risasi!
Sio mambosasa,wala Diwani Athumani au yeyote aliyeandikiwa hiyo barua atamkamata Lisu! Ila wale wadhamini wake ndiyo wanamsubiri kwa hamu kubwa
Umesema?Stupid guys...very stupid indeed...how could you interfere with our affairs?! Stupid colonialists/imperialists.,stupid democracy..
Alishaguswa na wabaya wake sasa hivi anaogopa hata kivuli chake au mlio wa loud sound..Mguseni "MNUKE"
This to me is somewhat counterintuitive!
Why?
Because, why would the same government that Mr. Lissu accuses of trying to assassinate him, now be asked or be expected to provide for his personal protection upon his return?
Does Mr. Lissu now trust the very same people whom he accuses of wanting to kill him?
Maybe this is just an attempt to preempt another attempt...
But, what do I know! I’m just high school dropout.
Chadema ndugu zangu mnatafuta popularity kwa juhudi kubwa sana!
Huyo jamaa ana are arest warrant kutoka mahakamani alikokimbia kesi hadi wadhamini wake walitaka kujitoa!
Watakao mkamata wa kwanza ni wadhamini wake wampeleke mahakamani akajibu kwa nini amekuwa mtoro kuhudhuria mahakamani hata baada ya kupona majeraha ya risasi!
Sio mambosasa,wala Diwani Athumani au yeyote aliyeandikiwa hiyo barua atamkamata Lisu! Ila wale wadhamini wake ndiyo wanamsubiri kwa hamu kubwa