Open Letter: Tundu Lissu's return to Tanzania

Hawana tofauti na Bernard Morrisorn
 
Hizi barua zitasababisha akamatwe hata Kama hawakua na nia.
Lissu saivi ni lulu. Ukimuacha lulu ukimkamata ni lulu zaidi.

Hivi unadhani umpige risasi 16 mtu aende kwenye matibabu akiwa nusu mfu alafu anarudi tu akiwa na ulemavu tayari unamkamata dunia itakuchukuliaje??? Wananchi wako watakuchukuliaje??

CCM wenyewe mmemtengeneza Lissu kwa ujinga wenu wa kumuacha mwenyekiti wenu na watu wake wampige risasi. Mliambiwa hata makesi mnayomfungulia mnazidi kumpa umaarufu ila hamkusikia.

Sasa kubalini tu kumpa Ikulu hapo October 2020
 
Hahahhaha... Aisee kwahiyo hao viongozi watamtangaza Lisu?

Kwanza coment zipi ambazo wewe unaona ni za kumfanya Lisu ashinde urais?

Kingine, ushindani utakuwa kati ya ccm na chadema, sasa hao viongozi wanaotoa coment msibani wamekwambia wataipigia kura chadema?

Hahhaha hii ni nchi jomba siyo familia
 
Kwani umesahau ule msemo, 'mchawi mpe mtoto akulelee?'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri utaona. Tutakimbiana humu. Magu amechokwa na hatakwi na kila mtu. Hata waliokuwa nae karibu ni uoga tu na kwa ajili ya mkono kwenda kinywani.

Subiri sasa kwenye plain ground ya competition yake na Lissu ndo ataaamini kuwa ubabe haufai.
 
Pia it sounds kama vile hawa jamaa wanawapiga mkwara waliowataja na ukiangalia vizuri unaweza sema Wana blackmail this leaders of our sovereign state..not that I want/wish anything bad to happen to their so called client but who the hell they think they are to make Demands!?...All mentioned individuals take orders from our elected leader only and no any local or foreign entity can push them around regardless of the situation at hand...now I understand why the ruling party is sometimes refering to these individuals as the agents of foreign exploiters.
 
This letter is an attack to our sovereignty...eti Wana Demands... Really!?
 
Our government is self-centered kitu ambacho sio,mtu mmoja anaamua vitu vyote kilimo,bishara,uchumi na ajira those are features of dictatorship government na hamna maendeleo engulfed with corruption
 
Mtaongea maneno yote mwaka huu. Tumechoka kuongozwa na sera zenu za kijamaa zinazotufanya tuwe masikini kila leo.

Lissu ndo raisi wako kuanzia October 2020. Tunafanya kama Malawi mwaka huu
Anayofanya Magufuli na CCM havina uhusiano wowote na "sera za kijamaa."

Nadhani umependa tu kuliweka hivyo bila ya sababu yoyote.
 
They are not even pretending to assure him of protection.

And why would Lissu want to trust people who are not even trying to hide their ill intentions on him?

Mr Lissu has every right to be back home, he does not need to beg for that God given right.

Now, whatever happens after his return, there will be no doubt as to who is culpable and therefore sanctions will be imposed upon those identified.

Impunity cannot be allowed to ride shod on everyone unchallenged. This will be a start.
 
Dawa ya jirani mchawi, ni kumuachia akuangalizie watoto wake .

 
You do not even understand yourself.

How can you claim to "...now understand why the ruling party is sometimes refring to these individuals as the agents of foreign exploiters?"
 
Mguseni "MNUKE"
Waliomgusa so ni chadema wenyewe! Huyu Lisu hajajifunza hata kidogo kutokana na zile blanko za Chadema! Kwa Nini anajiweka Tena Kuwa target wa maadui was serikali yetu na maendeleo yetu! Huyu kweli ni siokio lisilosikia dawa! Poor TL!😱!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…