Open relationships....do they work?


Nakubaliana na hoja yako lakini tunakoelekea siko turudi kwetu.
 
Khaaaa!mawazo mengine tunatakiwa kusoma tu na kuacha!
 
Habarini wanaJF. Nimeshangaa kuona kwenye FB wabongo wengi wanaweka kwamba wako kwenye open relationship na wanaiona ni hype au fashion flani. Hata kuna wengine eti wanapewa hongera/ likes moving from relationship to open relationship...

Je, open relationship ina maana gani au ni mimi nimekuwa nikielewa maana tofauti....

Nawasilisha.
 

Ni open relationship...ama nimekosea...lo!
 
Maanake hiyohiyo unayoifaham uhusiano ambao unaruhusu wahusika kupiga ndondo aka mchangan
 
open relationship ni uhusiano unaoruhusu kuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja. FULLSTOP.
 
Ni kuwa upo available na hujajifunga na upande wowote
 
An open relationship is a relationship where one person does not own the other. The couple are not exclusively seeing each other and can date, flirt and hook up with other people should they wish to do so.
 
Unajua taabu yangu ni kwamba tafiti zinaonyesha kwamba the longer you stay together ndivyo bond between you inapokuwa kubwa na hiyo inasababisha hisia za umiliki kuanza kujitokeza ndio maana nikawa nauliza does it really work?
 
Unajua taabu yangu ni kwamba
tafiti zinaonyesha kwamba the longer you stay together ndivyo bond
between you inapokuwa kubwa na hiyo inasababisha hisia za umiliki kuanza
kujitokeza ndio maana nikawa nauliza does it really work?
they don't work,hayo mambo ya ulaya tuwaachie he!hivyo face buk itawaharibu watu wasiofikiri ka kweli
 
they don't work,hayo mambo ya ulaya tuwaachie he!hivyo face buk itawaharibu watu wasiofikiri ka kweli
Hata huko Ulaya pia imefail na mfano mzuri ni wa Willy Smith na Jada Pinket
 
Hata huko Ulaya pia imefail na mfano mzuri ni wa Willy Smith na Jada Pinket
Will na Jada ni US sio Ulaya.

on topic: OR don't work in the long run kwa sababu zinahitaji too many rules.
  1. watu tuna wivu so imagining your gf/bf akiwa na mwingine inaumiza.
  2. pia ni ngumu ku-incorporate into the family due frequent change of partners inawachanganya watoto (imagine kuintroduce mtu tofauti kila weekend nyumbani, watoto wanafikiriaje?).
  3. society haija-accept it as something serious, inachukulia as wahusika wanachezeana tu
  4. hakuna role models. the demographic inayomudu OR zaidi kuzidi zingine haitaki kusapoti OR as inawapa picha mbaya mbele ya wengine within the same demographic and out of the demographic
 
Mmmh... Hii mbona kwangu naona kama ni kitu cha ajabu sana..!
 
open relationship is just a euphemism for sexmate.
 
Hao wazungu wameiga kutoka huku Africa, huo utamaduni ulianzia Afrika lakini ni bahati mbaya kizazi hiki hakijui kwa sababu vijana wengi wanakimbia tamaduni zao na hivyo kushindwa kudadisi ili kujua asili ya kabila lzo na mila na desturi zao.

Kuna Mzee mmoja liwahi kunisimulia kwamba kuna kabila (Naomba nisilitae) Iwapo baba anafaruiki lakini ana wake wengi, basi yule mtoto mkubwa kabisa wa huyo mzee anaweza kuwarithi wake wote wa baba yake kasoro ti=u mama yake ikli kuendeleza ukoo.....................

Njua kuna watu watabisha hapa.......................
 
Wakuu naomba kuelimishwa hii open relationship ni ipi kati ya hizi; mtu yupo kwenye ndoa na ana vidumu 6 pembeni na baadhi wanajuana? au ni ile mtu mume na mtu mke wanakubaliana kupeana vikojoleo for while huku wakiendelea kutambuana?? please naombeni ufafanuzi...
 
Nimeshafungua vifungo vya shati tayari kwa mahusiano wazi.
 
Kwa sababu hukijui lazima ukione cha ajabu. Jifunze kujifunza mambo mapya, kuna baadhi yakawa na manufaa yakakufaa.

Ni kweli, hata hivyo naishukuru sana JF maana nimejifunza mambo mengi sana kupitia humu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…