Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,586
- 6,697
well nikwambie kitu kimoja kwa haraka haraka itaonekana kuwa hii italeta maambukizi mengi ya ukimwi ila ukweli ni kwamba itapunguza. kulinga na stats inaonekana kuwa maambukizo mengi utokea kati ya wanandoa na bf/gf relationships. actually statistically ur are less likely kupata ngoma kutoka kwa malaya than ur wife/husband or gf/bf. hivyo basi mkiwa na open relationship kila mtuu atakuwa anajua kabisa kuwa huyu mwezangu anagawa kwa wengine hivyo full kijikinga. naamini utakubaliana na mie kuwa wengi waliokuwa kwenye mahusiano ya bf/gf mwishio wanakulana peku lakini hilo huwezi fanya kwa malaya au mwanamke/mwanamume yeyote yule ambaye una uhakika kuwa anatoa utamu nje
Nakubaliana na hoja yako lakini tunakoelekea siko turudi kwetu.