Pedeshee kiraka
Member
- Jan 7, 2012
- 61
- 7
Magonjwa yapo jaman mpz 1 tuu ndio mpango bhana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanajamii, The last Don
Open relationships ni zile ambazo hazina sifa nyingi za relationships za kawaida. Kwa mfano, watu wanakubaliana kutooneana wivu, wanaweza ku date watu wengine na huwa zinaweza kuvunjika muda wowote hata bila taarifa. Mara nyingi zinaunganishwa na kitu kimoja tu "NGONO"
Sikumbuki kama nimeiona lakini nimeiona "No Strings Attached" Iko kama hivyo lakini taabu ni kwamba mwisho wa siku mi naona kama haiworkSijui nakosea ila nauliza, kuna movie moja inaitwa friends for benefit, wao walikubaliana kupeana ngono tu je ni type kama hizo?
Sikumbuki kama nimeiona lakini nimeiona "No Strings Attached" Iko kama hivyo lakini taabu ni kwamba mwisho wa siku mi naona kama haiwork