Mzee wa Masaki
Member
- Sep 30, 2012
- 21
- 15
Mmetoa tangazo kwamba mtatuletea majina ya watakaomaliza chuo na kuwepo kwenye mahafali tarehe 16 Oktoba 2012. Mbona mpaka leo hii majina hayajatoka? Mnategemea sisi tuliopo Kigoma tukipata majina hayo siku 5 kabla tutawezaje kuja kuhuddhuria? Mbona mnazidi kutunyanyasa, matokeo yetu yenyewe tunafuatilia mwaka nenda rudi na bado mnayatoa mpendavyo ninyi. Mtu assignments zake na test mnazo lakini hamziweki kwenye SARIS. Mkoje ninyi?