Open University hii ni aibu kubwa

MUTUYAMUNGU

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,825
Reaction score
4,374
Kitendo cha website ya open university kutokufanya kazi vizuri ni cha aibu sana, ni zaidi ya miezi minne sasa website hii inasumbua sana. ikumbukwe kuwa open university ina wanafunzi ulimwengu mzima na wote wanategemea taarifa kutoka kwenye web hiyo!
 
mkuu hiyo ni kweli kabisa, hawa jamaa hawako serious kabisa!
 
Ndio nchi nzima iko hivyo. Website zinazofanyakazi vizuri tena update ni za udaku tu. Lakini Mawizara, Idara na Taasisi zake zimejaza hotuba za bajeti basi. Very sad
 
Sidhani kama hawa OPEN hawapatikani kwenye website yao, kwani juzi tu nimedownload almanac yao pamoja na kuchungulia tangazo lao la kazi pale.

Wapo hewani OUT mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…