MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Kitendo cha website ya open university kutokufanya kazi vizuri ni cha aibu sana, ni zaidi ya miezi minne sasa website hii inasumbua sana. ikumbukwe kuwa open university ina wanafunzi ulimwengu mzima na wote wanategemea taarifa kutoka kwenye web hiyo!