Open university kitengo cha masuala ya technology kinatangaza pre form one course na masomo ya compu

Open university kitengo cha masuala ya technology kinatangaza pre form one course na masomo ya compu

vidodi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2014
Posts
363
Reaction score
130
Open university kitengo cha masuala ya technology kinatangaza nafasi ya masomo ya computer ya muda mfupi(short course)na ya muda mrefu(certificate &diploma)katika computer pamoja na masomo ya pre form one kwa waliomaliza darasa la saba ambao watafundishwa pia somo la computer kwa ajili ya kuwapa mwangaza zaidi kwa mawasiliano piga namba 0779888204 au 0778888960
 
Swali: uchafu ni nini?
Jibu: Uchafu ni kitu chochote kilichopo sehemu kisipotakiwa kuwepo kwa wakati uliopo.

Swali:kwahiyo hii thread hapa ndo jukwaa lake?
Jibu: hapana

Swali: kwahiyo unakubaliana nami kua ni uchafu?
Jibu: Ndio
 
We makame siwez kubishana na wewe no comment
 
Back
Top Bottom