Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Wakuu salamu.
Ningependa kwa anaejua hivi Open University of Tanzania website yao imepatwa na ugonjwa gani?
Kuna mdau alifanya application ya kuomba nafasi undergraduate kwa kutumia Online application cha kushangaza baada ya hapo ni kwamba km website imepotea hajui km amechaguliwa au hajachaguliwa.
Website imebuma kila akijaribu kuingia ili aone km kuna muendelezo wowote website inaleta chenga tu.
Km wapo humu wahusika emu watupe maelezo hii imekaaje website inakua down kiasi hiki mpaka inatisha hivi?