Open (Wazi)Wakuu salamu.
Ningependa kwa anaejua hivi Open University of Tanzania website yao imepatwa na ugonjwa gani?
Kuna mdau alifanya application ya kuomba nafasi undergraduate kwa kutumia Online application cha kushangaza baada ya hapo ni kwamba km website imepotea hajui km amechaguliwa au hajachaguliwa.
Website imebuma kila akijaribu kuingia ili aone km kuna muendelezo wowote website inaleta chenga tu.
Km wapo humu wahusika emu watupe maelezo hii imekaaje website inakua down kiasi hiki mpaka inatisha hivi?View attachment 3123101View attachment 3123102
Acha chuki shule ni jitihada ya mtu mwenyewe chuo kikuu sio sio shule yaHakuna shule hapo
Nenda kwenye Regional Centre iliyopo jirani kipindi hiki cha applications serverWakuu salamu.
Ningependa kwa anaejua hivi Open University of Tanzania website yao imepatwa na ugonjwa gani?
Kuna mdau alifanya application ya kuomba nafasi undergraduate kwa kutumia Online application cha kushangaza baada ya hapo ni kwamba km website imepotea hajui km amechaguliwa au hajachaguliwa.
Website imebuma kila akijaribu kuingia ili aone km kuna muendelezo wowote website inaleta chenga tu.
Km wapo humu wahusika emu watupe maelezo hii imekaaje website inakua down kiasi hiki mpaka inatisha hivi?View attachment 3123101View attachment 3123102
Jibu la maana hiliNenda kwenye Regional Centre iliyopo jirani kipindi hiki cha applications server
inaweza kuzidiwa na idadi ya watu wanaotumia ni kawaida sio kwa OUT hata kwingine
inakuwa hivyo.
Kwa hio huko centre ndio watatoa majibu? Ila hiki Chuo kikubwa cha Serikali inakuaje kinakua na uzamani mwingi mboni vyuo vingine Server zipo on hata ishambuliwe vipi mfano mdogo UD Server haijawahi kuzima kizembe zembe km hawa? hii inaenda wiki sasa website imezima kila ukiingia website imezima hadi unajiulizaNenda kwenye Regional Centre iliyopo jirani kipindi hiki cha applications server
inaweza kuzidiwa na idadi ya watu wanaotumia ni kawaida sio kwa OUT hata kwingine
inakuwa hivyo.
Wewe choma nauli wafuate huko huko centre mkuu usianze kufananisha vyuo itakuchanganya kila Chuo kina muongozo wake labda hao muongozo wao ni kuzima Server ili muonde mkasumbuane huko huko, kwa hio hata hawajamjulisha kwa email au namba yake ya simu kwamba amechaguliwa au hajachaguliwa?Kwa hio huko centre ndio watatoa majibu? Ila hiki Chuo kikubwa cha Serikali inakuaje kinakua na uzamani mwingi mboni vyuo vingine Server zipo on hata ishambuliwe vipi mfano mdogo UD Server haijawahi kuzima kizembe zembe km hawa? hii inaenda wiki sasa website imezima kila ukiingia website imezima hadi unajiuliza
Hakuna alichojulishwa chochote na majina ya waliochaguliwa yameshatoka kitamboWewe choma nauli wafuate huko huko centre mkuu usianze kufananisha vyuo itakuchanganya kila Chuo kina muongozo wake labda hao muongozo wao ni kuzima Server ili muonde mkasumbuane huko huko, kwa hio hata hawajamjulisha kwa email au namba yake ya simu kwamba amechaguliwa au hajachaguliwa?
Basi wafwate hukohuko centre au uwapigie simu km una nampa zao uwaulizeHakuna alichojulishwa chochote na majina ya waliochaguliwa yameshatoka kitambo
Aliomba round ipi mbona majina ya first round na second round niliyaonaHakuna alichojulishwa chochote na majina ya waliochaguliwa yameshatoka kitambo
Bora afanye hivyoBasi wafwate hukohuko centre au uwapigie simu km una nampa zao
Emu jaribu kuingia muda huu uangalie au km una hizo PDF mpandishie hapa azioneAliomba round ipi mbona majina ya first round na second round niliyaona
kwenye website yao juzi na hata jana. Alafu tatizo nyie mnasubiria mpaka deadline ndio
mna haha
Km uliingia jana na juzi na PDF zake unazo weka hapa ajichungulie km amechaguliwa au kapigwa chiniPia ungeeleza aliomba Program gani, ufaulu wake upoje na
upo wapi ungekuwa rahisi zaidi.