Open University of Tanzania (OUT) kumtunuku PhD Obama

Open University of Tanzania (OUT) kumtunuku PhD Obama

Hata wangemtunuku- haina maana kwakwe!!! kwa sababu hawatamuita Dr. na wala yeye hatahitaji.........Napita!!
 
huo ndo ukweli udaktari wa kupewa hauna mvuto, usikute aliwambia hachaneni na hiyo issue fake
 
Kama issue ni PHD anayo siku tele na alikuwa anakaribia kuwa Prof!wakampe yuleee anapenda PhD za kudandiaa...
 
Hiyo "marketing strategy" au promo ya OUT waliyoipanga kupitia kwa mgongo wa OBAMA imekwama wajipange kutoka kivingine.Wamuite Mugabe aje wampe Phd. ya heshima watapata coverage kubwa tu locally na internationally.
 
Mmechakachua elimu yetu.Nani anatamani PhD kutoka OUT? Wizara ya elimu /serikali inafanya siasa kwenye elimu/taaluma.Nchi ambayo mwanafunzi asiyejua kusoma anafaulu kwenda sekondari.Wizara inagawa madaraja ya ufaulu mezani, nini kazi ya Baraza la mitihani hadi waziri atangaze matokeo ya mitihani? Mtihani moja lakini matokeo mawili.
 
Back
Top Bottom