Mmechakachua elimu yetu.Nani anatamani PhD kutoka OUT? Wizara ya elimu /serikali inafanya siasa kwenye elimu/taaluma.Nchi ambayo mwanafunzi asiyejua kusoma anafaulu kwenda sekondari.Wizara inagawa madaraja ya ufaulu mezani, nini kazi ya Baraza la mitihani hadi waziri atangaze matokeo ya mitihani? Mtihani moja lakini matokeo mawili.