Open University of Tanzania

Open University of Tanzania

Open university pale ni shule kweli,ukileta ubishoo utakaa hadi miaka 6 badala ya miaka 3 ya shahada ya kwanza..
chuo kinahitaji mtu uwe very commited and self discipline kwenye masomo yako otherwise utasotea hapo hapo.
 
chuo ni kizuri sana kuna aina tofauti za ufundishaji wale wa mbali wanaojitegemea, wanaongia usiku na hao wakawaida et kuhusu watu wazima mi nadhan wanafunzi wote vyuo vikuu ni watu wazima zaidi ya apo wengi wapo kwenye program za usiku na distance learning! kwaio asiwe na shaka mwache dogo asome tena akipata cha dsm mambo ndo superB

Naomba unisaidie hiyo link yenye hayo majina mkuu
 
Pia kuna watu wanasema eti mwanafunz ndo unawajibu wa kumtafuta lecturer ina maana kwenye icho chuo malecturer hamna?

Hao ma-lecturers anawatafuta wapi?
OUT siyo convetional University. Hii ni OPEN AND DISTANCE LEARNING UNIVERISTY. Hakuna muda wa kumuona mhadhiri uso kwa uso. Kwa sasa wameanza kufundisha kwa moodle ambapo mwanafunzi na mhadhiri wana interact on line. Materials per course yanakuwa posted pale. Utakakiwa tu kuwa na password ya somo husika. Hivyo usiogope .
 
Open university ile shule ni ya kiume strong commitment, strong determination zinahitajika.

Pata stori za mama Anna kilango marlecela alisup mara kibao kozi ya microcomputer studies mpaka wakamwonea huruma wakampa alama C ya mezani mke wa mheshimiwa aclaim status ya kuwa graduates.
 
Kama ukitaka kusoma kozi ya miaka3 alafu usome miaka 7 basi nenda open. Ni ushauri tu.
 
okay,me maitwa innocent ni mkazi wa arusha na nimehitim form 6 dis year,nlikua naomba japo nipate maelekezo kidogo kutoka kwako kuhusiana na hcho chuo kwan sina hata idea nacho kabisa..kama hautojali namba zangu n 0783203864..naomba unitafute hata kwa msg then ntakupigia coz nina mengi nahitaji kujua kutoka kwako.
yaaa nipo pale
 
Kwasababu amepata Barch of Science with Education basi mkopo wake ni ASLIMIA 100 atapata endapo Jina lake halikuwepo kwa wale waliokosea form na kuambiwa wakajaze tena sasa kama lilikkuwepo na hakujua au deadline ilipita Hapo usitegemee Mkopo. Srong Determination ya mwanafunzi ndio itakayomsaidia na sio kinginecho, Kumbuka ulimwengu wa kidigitali huu watoto hawasomi sana they are spoon feeder...Ila nafikiri umejikita sana ktk kuomba ushauri Jamii forum without making any forup against transfer....Ok nisikulalamikie bila kukupa jibu...Maelezo yote yapo Website ya TCU lakini hakikisha Cut off point zinaendana na chuo husika MAANA yake angalia TCU GUIDEBOOK ya 2014/2015 na sio nyingineyo,,,then kama anafeed unaweza kufanya transfer endapo itakupa shida Just be free call me 0754485211/0655485211 nitakusaidia hizo Cut off point na vinginevyo kuhusu Transfer,, mpaka sasa kuna Vyuo ambavyo Usijaribu kuomba Transfer hasa kwa hiyo kozi uliyoisema,,,,,,Soma haya maelezo then ukishindwa au kwa ushauri zaidi Just be free tutaelekezana ndugu....Maelezo ni haya hapa
Tanzania Commission for Universities
Transfer
Procedures
1.
Introduction
TCU had been experiencing
a
number of applicants seeking transfer after
the announcement of selection results.
Due to that reason, TCU hereby
announce
s
transfer procedures as fol
low:
2. How to Transfer
i)
Selected applicants who wish to transfer from one institution to another
will be required to
send their applications to TCU
by filling application form
available on TCU website
ba
sing on the available slots
on TCU website
and
se
nd it via email:
admission@tcu.go.tz
.
ii) TCU will process their applications basing on requirements and
available slots.
iii)
The
successful
applicants
will be notified by TCU
via their mobile
numbers so as to pa
y the transfer fee of T.Sh. 30,000/
-
iv) TCU will then re
-
allocate them
to respective programmes
/institutions.
v) The list of transferred applicants wil
l then be posted on TCU website
.
3.
Transfer fee
i)
There
will be a transfer fee
of
Tsh. 30,000/
-
for
applicants who will
be
transferred.
Only successful applicants
will be required to pay the
transfer fee
after receiving notification via mobile numbers
inform
ing
them their transfer applications have been accepted.
ii) The transfer fee will be paid via T
CU account number
s:
a)
CRDB 01J1026795702
b)
CBA
(Commercial Bank of Africa)
115600100015
iii) After paying the transfer fee
they will be required to
scan and send
their pay in slip to TCU through the email:
admission@tcu.go.tz
those in
Dar es sa
laam they may submit their pay in slips physically at TCU,
admission offices.
4.
Transfer within Institutions
However for the transfer within the institutions for applicants who wish to
transfer from one programme to another, institutions will be allowed to
 
Je, bachelor of science with education open university ntapata mkopo kweli maana ndo nimechaguliwa icho chuo wakuu

mkopo unapata uhakika laki 800..mdogo wangu amepata hapo ila namuamisha chuo nimeenda kumtafutia DUCE na kombi ni bachelor science with education nakushauri fanya taratibu za uhamisho open hutopaweza
 
mkopo unapata uhakika laki 800..mdogo wangu amepata hapo ila namuamisha chuo nimeenda kumtafutia DUCE na kombi ni bachelor science with education nakushauri fanya taratibu za uhamisho open hutopaweza

that's true,open Ni noma
 
sio kweli: OUT ni versity kama nyingine lakn unatakiwa kujituma kuna dada yangu amemaliza hapo master na yuko wizara ya elim mwache apige
 
Back
Top Bottom