Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 726
- 320
Wadau,
Naona selections za vyuo mbalimbali na watu wanajiandaa, Open University wametoa selection chache tu za Batch One, naomba kama kuna mtu anajua lolote anijulishe nami lini watatoa zingine, au labda walishatoa ila mi ndiyo sijaziona. Email zao hawajibu hata, wala facebook.
Msaada tafadhali.