ndugu yako
Senior Member
- Mar 30, 2013
- 193
- 96
Habari wakuu?!
Wakuu nahitaji kusoma kozi ya Administrative Law, chuo kilicho karibu yangu ni Open University tu;
-Je hiki chuo huwa kinatoa hizi kozi?!
-Na inasomwa kwa muda gani?!
-Ada yake ni kiasi gani?!
Wakuu nahitaji kusoma kozi ya Administrative Law, chuo kilicho karibu yangu ni Open University tu;
-Je hiki chuo huwa kinatoa hizi kozi?!
-Na inasomwa kwa muda gani?!
-Ada yake ni kiasi gani?!