anaishi wapi? Kama yuko doma mwambie ajoin tu maana wengi huwa wanahudhuria kozi kule st john kama kawaida kasoro inapokuja issue ya mitihani hawaingii. Na kama yuko dar, nayo poa tu kwani anaweza kuwa anahudhuria lecture pale main campus.
Ila kama ni kukomaa kivyake vyake, mkuu inahitaji kazi ya ziada kweli maana soma yao ni ngumu sana
wakuu dogo wangu anataka kujiunga na chuo kikuu huria course ya Busneness admistration bachela,sa ananiomba ushauri kwasababu ana principle mbili Pekee! Naombeni mawazo hapa waungwana...