Open university

Open university

ossy

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
872
Reaction score
143
wakuu dogo wangu anataka kujiunga na chuo kikuu huria course ya Busneness admistration bachela,sa ananiomba ushauri kwasababu ana principle mbili Pekee! Naombeni mawazo hapa waungwana...
 
anaishi wapi? Kama yuko doma mwambie ajoin tu maana wengi huwa wanahudhuria kozi kule st john kama kawaida kasoro inapokuja issue ya mitihani hawaingii. Na kama yuko dar, nayo poa tu kwani anaweza kuwa anahudhuria lecture pale main campus.

Ila kama ni kukomaa kivyake vyake, mkuu inahitaji kazi ya ziada kweli maana soma yao ni ngumu sana
 
Upo arusha kaka! --! Hivi inamaana hamna lecture kabisa au?
 
Duh!!open pagumu sana mkuu,mfanyie maarifa mengne tu ka vp.
 
wakuu dogo wangu anataka kujiunga na chuo kikuu huria course ya Busneness admistration bachela,sa ananiomba ushauri kwasababu ana principle mbili Pekee! Naombeni mawazo hapa waungwana...

Wataalamu wa elimu ya vyuo vikuu wanasema open university ndio a typical good example of how to run university education..tatizo ni namna sisi tunavyoiendesha ndio tatizo..lakini kwa wenzetu distance learning ni moja ya elimu zinazoheshimika sana...
 
Mbona kwa hizo pass akiomba Chuoni moja kwa moja anapata, labda ungeweka wazi kuwa amesoma combination gani!!! Na ni vyema hata kama ataomba kupitia TCU ajaze zaidi vyuo vya private kwani wanaweza kumchukua. Lakini kwenye swala zima la open University mimi siungi mkono hoja kwani kuna jamaa yangu mimi wakati najiandaa kuingia University yeye alikuwa mwaka wa pili kwenda wa tatu, lakini kwa bahati mbaya bado wanazidi kumzingua hadi saizii bado hana uhakika wa kupata jiwe lake mwaka huu.

Kama ujuavyo siku hizi elimu ya vyuio vikuu imeingiliwa na watu ambao ipo nje wa Uelewa wao, mfano mzuri ni pale Tutorial assistance anavyofundsha na kusaisha bila kujali mazingira ya mtu anayosomea. Lakini kama uwezo wake ni mzuri anaweza kujiunga kwani hata Anna Kilango naye alisoma huku na akafaulu vizuri tena kwa kupata Hons, ila huyu mtu mumewe ni viongozi wa juu zaidi kwenye hiki chuo so sio kielelezo bora, Kwa wazo lingine unaweza kumshauri aombe hata Diploma ya kozi hizo hizo.
 
Mwambie apply tu kule open wanagawa degree hamna ugumu wowote, mimi mwenyewe nataka nikajichukulie masters huko baada ya kuhitimu Bachelor yangu, sijawahi kusikia mtu ame disco.
 
Mkuu usidanganyike na hilo jina OPEN. Hiyo ngoma ni CLOSED. Mtafutie chuo kingine tu.
 
Back
Top Bottom