kamsongole
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 111
- 15
nenda kaulizie pale faculty ila watu walituma maombi siku nyingi sasa wanafanya usajili ,ila huwezi jua Tz lolote linawezekana.ndiyo shida ya open materials na discussion group hakuna huku kwangu. vipi udsm watakuwa bado wanapokea maombi kwa sasa?
Bora ungebaki open mkuu.
Bora ungebaki open mkuu.
vyuo vyote akina mulugo unaowaita wapo!!