Open university.

Open university.

kamsongole

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
111
Reaction score
15
salamu ndugu, mwenzenu natafuta compani ya kusoma nayo course ya postgraduate diploma ya education. kama mpo tuwasiliane tafadhali, si mnajua tena umoja ni nguvu? hivi kuna chuo kinatoa full time ya course hii?
 
ndiyo shida ya open materials na discussion group hakuna huku kwangu. vipi udsm watakuwa bado wanapokea maombi kwa sasa?
 
ndiyo shida ya open materials na discussion group hakuna huku kwangu. vipi udsm watakuwa bado wanapokea maombi kwa sasa?
nenda kaulizie pale faculty ila watu walituma maombi siku nyingi sasa wanafanya usajili ,ila huwezi jua Tz lolote linawezekana.
 
hivi open post ya ed. ada yao iko vp kila kitu mpaka unamaliza.
 
Back
Top Bottom