Hii ni Openda maalum ambayo ni miongoni mwa 'sample' 2,000 z
ilizoletwa na wana DIASPORA huku zikiwa kivutio kwa Rais Jakaya Kikwete ambapo ametoa oda ziletwe 100,000 zitakazotumika kama moja ya kampeni ambako zinaimba wimbo wa CCM No.1 ulioimbwa na Kapteni John Komba wa TOT ambaye pia ni Mbunge wa Mbinga Magharibi.
Source:
BONGOWEEKEND