Elections 2010 OPENER za Kikwete za Kuwaraghai Watanzania

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,264
Reaction score
678
Hii ni Openda maalum ambayo ni miongoni mwa 'sample' 2,000 zilizoletwa na wana DIASPORA huku zikiwa kivutio kwa Rais Jakaya Kikwete ambapo ametoa oda ziletwe 100,000 zitakazotumika kama moja ya kampeni ambako zinaimba wimbo wa CCM No.1 ulioimbwa na Kapteni John Komba wa TOT ambaye pia ni Mbunge wa Mbinga Magharibi.

Source:BONGOWEEKEND
 
inanitia kichefuchefu.......mhudumu akinifungulia nayo bia hiyo Opener silipi.....atalipa JK
 
Hii ni Openda maalum ambayo ni miongoni mwa 'sample' 2,000 zilizoletwa na wana DIASPORA huku zikiwa kivutio kwa Rais Jakaya Kikwete ambapo ametoa oda ziletwe 100,000 zitakazotumika kama moja ya kampeni ambako zinaimba wimbo wa CCM No.1 ulioimbwa na Kapteni John Komba wa TOT ambaye pia ni Mbunge wa Mbinga Magharibi.

Source:BONGOWEEKEND

King sijaelewa diaspora iliyotoa ni ya CCM au wote? Kama ni wote kama ilivyokwenye red ni muhimu Diaspora wakumbuke kuwa kuna chadema, cuf, nccr-mageuzi, udp etc
 
Back
Top Bottom