OPENING:1st YEAR SUFFERING UNIVERSITY OF ANTISPICES[SUA]

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Jaman,kesho ndo sua inafungua mlango academic year 13/14..,kama hujalipa crdb uciende kesho na j5 hutapokelewa!!"updatedboy"
 
eti hawatapokelewa, ww kama nani, hakika hakuna chuo kama hicho, hapo unaweza maliza bila hata kulipa ada,
 
Jaman,kesho ndo sua inafungua mlango academic year 13/14..,kama hujalipa crdb uciende kesho na j5 hutapokelewa!!"updatedboy"

Acha kutisha watu wewe!!

Kwa nini wasiende? Unataka waende siku gani? Waambie basi wanatakiwa walipie kitu gani huko CRDB?
 
Jaman alichozungumza jamaa ni kwel kabisa..kama hujalipa kiasi kinachotakiwa kuongezea ktk ada, examination fee,registration,maktaba,medical,kitambulisho,suaso na caution money hawakusajil..ila kwa wenye kitambulisho cha bima ya afya wataokoa Tsh 100000.00..pia kuna accomodation Tsh 78000.00..KARIBUNI SANA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE..NA WALA MSITISHWE NA WANAOWAAMBIA KUA MTADISCO KWAN WANAOMALIZA SUA WAO WANA AKIL ZA NAMNA GANI..NAINGIA MWAKA WA PILI kozi ya BSc. in Agricultural Economics&Agribusiness(AEA)..
 

aiseee we unatokea arusha nn...ebu msalimie mahamudu na babu bila kumsahau lazaro na prf.era.....eti nackia jamaa wamekula vichwa vinne..
 

bora umewaambia,i want to change a course wat can i do!
 

Huwezi kulipa nusu?
 

Huwezi kulipa nusu?then mkopo ukiingia umalizie?
 
ndio natokea arusha na ndio asili yangu..vichwa vimeliwa vingi kozi ya AEA mwaka wa 2 na koz nyingine ila AEA mwaka wa kwanza hajaliwa m2 kichwa..
 
unaweza kulipa nusu kiasi cha ada unachotakiwa kuongeza kama bodi hawajakulipia ada yote..ila kwa mwaka jana kwan miaka ya nyuma wa2 walikua hawakataliw kusajiliwa..sasa mwaka huu sijajua kama wanaendeleza sera ya mwaka jana..
 
ndio natokea arusha na ndio asili yangu..vichwa vimeliwa vingi kozi ya AEA mwaka wa 2 na koz nyingine ila AEA mwaka wa kwanza hajaliwa m2 kichwa..

ww nasikia vichwa vinne vimeliwa hapo wa kwanza kuingia wa pili.....daaahhh...ah ah ah ah
 
ww ----- usinitafutie ban mana nishachoka kupigwa ban....ww unanijua mimi hadi unaanza kutoa mavi kama hayo....boya ww..jiangalie vizuri
umevamia treni kwa mbele ww.mi nimeandika hivyo kutokana na title ya mtoa mada au na hii thread ulianzisha post yandu wala haikuhusu ww kwani ww unaingia mwaka wa kwanza?SI UMESEMA UNAINGIA MWAKA WA PILI AEA? acha hizo ww soma vzuri kabla ya kuposti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…