Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman,kesho ndo sua inafungua mlango academic year 13/14..,kama hujalipa crdb uciende kesho na j5 hutapokelewa!!"updatedboy"
Acha kutisha watu wewe!!
Kwa nini wasiende? Unataka waende siku gani? Waambie basi wanatakiwa walipie kitu gani huko CRDB?
kwani wewe unasoma chuo gani na kozi gani?Jaman,kesho ndo sua inafungua mlango academic year 13/14..,kama hujalipa crdb uciende kesho na j5 hutapokelewa!!"updatedboy"
eti hawatapokelewa, ww kama nani, hakika hakuna chuo kama hicho, hapo unaweza maliza bila hata kulipa ada,
Jaman alichozungumza jamaa ni kwel kabisa..kama hujalipa kiasi kinachotakiwa kuongezea ktk ada, examination fee,registration,maktaba,medical,kitambulisho,suaso na caution money hawakusajil..ila kwa wenye kitambulisho cha bima ya afya wataokoa Tsh 100000.00..pia kuna accomodation Tsh 78000.00..KARIBUNI SANA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE..NA WALA MSITISHWE NA WANAOWAAMBIA KUA MTADISCO KWAN WANAOMALIZA SUA WAO WANA AKIL ZA NAMNA GANI..NAINGIA MWAKA WA PILI kozi ya BSc. in Agricultural Economics&Agribusiness(AEA)..
aiseee we unatokea arusha nn...ebu msalimie mahamudu na babu bila kumsahau lazaro na prf.era.....eti nackia jamaa wamekula vichwa vinne..
Jaman alichozungumza jamaa ni kwel kabisa..kama hujalipa kiasi kinachotakiwa kuongezea ktk ada, examination fee,registration,maktaba,medical,kitambulisho,suaso na caution money hawakusajil..ila kwa wenye kitambulisho cha bima ya afya wataokoa Tsh 100000.00..pia kuna accomodation Tsh 78000.00..KARIBUNI SANA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE..NA WALA MSITISHWE NA WANAOWAAMBIA KUA MTADISCO KWAN WANAOMALIZA SUA WAO WANA AKIL ZA NAMNA GANI..NAINGIA MWAKA WA PILI kozi ya BSc. in Agricultural Economics&Agribusiness(AEA)..
haliw m2 kichwa hapa
bora umewaambia,i want to change a course wat can i do!

ndio natokea arusha na ndio asili yangu..vichwa vimeliwa vingi kozi ya AEA mwaka wa 2 na koz nyingine ila AEA mwaka wa kwanza hajaliwa m2 kichwa..
kumbe ndo kwanza unaingia mwaka wa kwanza unajitisha kijinga hivyo angalia dogo usije ukaanza sup za kutosha tu.acha umburula na acha kujitisha kwa kivuli chako.https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/tape.gif
umevamia treni kwa mbele ww.mi nimeandika hivyo kutokana na title ya mtoa mada au na hii thread ulianzisha post yandu wala haikuhusu ww kwani ww unaingia mwaka wa kwanza?SI UMESEMA UNAINGIA MWAKA WA PILI AEA? acha hizo ww soma vzuri kabla ya kupostiww ----- usinitafutie ban mana nishachoka kupigwa ban....ww unanijua mimi hadi unaanza kutoa mavi kama hayo....boya ww..jiangalie vizuri