Ndugu wanaJF,
Mimi naona zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu linaweza lisiwe na TIJA kwajinsi linavyoendeshwa. Kuwaondoa wahamiaji haramu nchini zoezi hili lazima lifanyike mikoa yote wakati mmoja otherwise utakuwa mchezo wa paka na panya. Operation inafanyika Kagera watakimbilia Lindi au Mtwara baada ya muda watarudi na kuendelea na maisha yao kama kawaida.
Hivyo napendekeza zoezi lifanyike nchi nzima kwa wakati mmoja kama tupo serious otherwise tunapoteza muda na rasirimali zetu bure halitakuwa na TIJA.
Naomba kutoa hoja.
Mungu Ibariki Tanzania.