Operation Paperclip: Njama ya Kijasusi Ilivyoijenga Marekani Kisayansi na Kiteknolojia

Kuna makalala na vitabu ulisoma Unaumia sana moyo.
Hapa Tanzania kuna watu wamefungwa kwa kutengeneza bunduki kienyeji. Nimeona watu wanatengeneza machine mbalimbali kwa kutumia screpa na zinafanya kazi. Hizi akili za ubunifu zingewezeshwa tungepiga hatua kwenye teknolojia. Mapinduzi ya viwanda ulaya hayakutokea kama ndoto.
 
Ni kweli mkuu ni kama tumewapatia mamlaka watu ambao hawana fikra kabsa! Miradi ya kufungua Frame za Hardware na viwanda vya kokoto yaani ni aibu
 
Wanasayansi wa Ujerumani walikuwa mbele ya muda. Ukiachana na mistakes alizokuwa anafanya Hitler, nature ilikuwa upande wa US na wenzake, ilikuwa lazima Hitler ashindwe Kwaajili ya manufaa makubwa ya dunia miaka ya mbele, si ajabu hata Hitler aliwabatiza Germans kuwa ni "Aryan" au "Master race", alikuwa na haki kusema hivyo, ni cream tupu ndo zilijaa lakini top cream au akili nyingi bila busara hugeuka hasara.
 
Wakati huo German ilikuwa ni nchi pekee duniani inatumia identity ya HIS badala ya HER πŸ˜ƒ Yule mwanaume alikuwa ni Genius
 
Exactly upo sahihi mno
 
Pole mkuu naona umeumia sana
 
Shida ya Tz ni siasa mkuu, kila kitu siasa.

Mbaya zaidi wanasiasa hawatumii watalaamu wachache tulionao bali wanatumia chawa wao.
 
Kwamba hadi Vice President hafahamu kuwa Project Paperclip imesaidia kitu gani Marekani? Maajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…