Kenyan comedian Eric Omondi ametoa wito kwa Wakenya kujitokeza kwa wingi this Saturday at Uhuru Park kwa kile ameita “Operation Safisha Nairobi.” Lengo kuu ni kuunganisha nguvu na wananchi kusafisha jiji la Nairobi, ambayo imekuwa ikikumbwa na changamoto za taka na mazingira machafu.
Kupitia kampeni hii, Eric anawahimiza watu kuja wakiwa na tools za kusafisha kama majembe, mifagio, gloves na gumboots, ili kwa pamoja waweze kufanya kazi ya usafi na kuonyesha kuwa mabadiliko yanaanza na wananchi wenyewe.
Akiongea kuhusu mpango huo, Eric alisema kuwa “Nairobi ni jiji letu sote, na tukingoja serikali peke yake hatutafika mbali. It’s time for citizens to step up and clean our own environment.”
Wananchi wanahimizwa kufika mapema kwa shughuli ya usafi, ambayo inalenga kuhamasisha community responsibility, environmental awareness na umoja wa wananchi.
Swali ni: Je, Wakenya watajitokeza kwa wingi kusaidia kusafisha Nairobi?