operation ya appendictis

janee

Member
Joined
May 4, 2013
Posts
54
Reaction score
12
naomba kuuliza,je naweza fanyiwa operation hii bila kuchanwa tumbo nje,yaan kwa technology zaidi?na wapi wanafanya hvyo hapa tz na gharama zake!
 
Nilikuwa na tatizo kama hilo miaka mitano ilopita pia nilikuwa na wazo kama lako. Niliwaona wataalam wakanambia inawezekana nikapewa dawa flaniflani hivi pia Spaslin. Nilidhani nitapona kwa tiba hizo lakini tatizo la kuumwa tumbo upande wa kulia chini na homa kali zilizidi. Nikaamua kufanyiwa op, but kwa wakati huo tayari ilisha pasuka muda hivyo kuchanwa tumbo kuelekea juu kwa op ya saa saba. Usichezee hiyo kitu iwahi mapema wasije wakaharibu shep ya tumbo lako kama ikipasukia ndani.
 

c kwamba ctak op,nataka kuifanya mapema bt bila kuchanwa nje ya tumbo!kama kuna rafiki yangu alifanyiwa op ya moyo bila kupasuliwa nje!c unajua tena mambo ya technology!ndo hyo op ya design hyo nataka kujua wanafanyia wapi tz hii
 
hyo op wanaita laparoscopic appendectomy,wanachana nusu nch wanaingiza fibre ndan ya tumbo!ni kama normal procedure za ndan only that hii hawa expose tumbo lote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…