Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa na tatizo kama hilo miaka mitano ilopita pia nilikuwa na wazo kama lako. Niliwaona wataalam wakanambia inawezekana nikapewa dawa flaniflani hivi pia Spaslin. Nilidhani nitapona kwa tiba hizo lakini tatizo la kuumwa tumbo upande wa kulia chini na homa kali zilizidi. Nikaamua kufanyiwa op, but kwa wakati huo tayari ilisha pasuka muda hivyo kuchanwa tumbo kuelekea juu kwa op ya saa saba. Usichezee hiyo kitu iwahi mapema wasije wakaharibu shep ya tumbo lako kama ikipasukia ndani.