Operation ya Matajiri kununua maghorofa Kariakoo inatisha

..wachaga eneo lao la kujidai lilikuwa Ubungo na Kimara, lakini mnajua nini kilitokea awamu iliyopita.

..kariakoo ni eneo la kujidai la Waarabu, Wahindi, na Wapemba.

..Wasomali wao wako maeneo ya Ilala, na Buguruni. Wapemba pia wapo kidogo huko.
Fyeka fyeka siyo?
 
Wenzako wanakopa wananunua ghorofa kariakoo, na wanaolipa kwa rent za hapohapo, 25yrs loan.
 
Wamiliki wa magorofa kariakoo ni akina nani, wahindi, wapemba, au wazaramo?
Wewe umeishi Dar maisha yako yote?
Kama ndio basi utajua waliokuwa wanamiliki zile nyumba za tope Kariakoo ni kina nani
Na wakati zinaanzaa kuuzwa miaka ya 90 hao wakinga walikuwa bado wanalima mtama huko maporini na wachaga walikuwa mafundi saa na wapiga viatu rangi mjini
Sasa ni nani alikuwa na hela ya kununua hizo tembe zaidi ya waarabu, wahindi na wasomali ambao walikuwa tayari wanaishi na kufanaya biashara Kariakoo tokea 19 kweusi?
 

Uko sahihi
 
Stori za vijiweni mikoani huko
Kariakoo hata siku moja haiwezi kuwa ya waporipori
Matapangishwa maduka tu , muwadanganye walugaluga wenzenu mna miliki gorofa zima
Ishu ni uporipori au ishu ni pesa ?hivi nikitoka zangu porini geita na pesa za madini nataka kununua gorofa kariakoo kuna atakaenizuia kisa nimetoka porini?
 
Ishu ni uporipori au ishu ni pesa ?hivi nikitoka zangu porini geita na pesa za madini nataka kununua gorofa kariakoo kuna atakaenizuia kisa nimetoka porini?
Tatizo uporipori unakuja kwenye, hapo unaposema unataka kuuziwa gorofa
Hakuna mjinga ajenge gorofa Kariaako ambapo ni atapa mapato yake na vizazi vyake vyote mpaka mwisho wa dunia, aje kuuza hiko kitega uchumi.
Sema kama bado kuna nyumba za tope ndio utaweza kununua, lakini hizo nyumba bei yake ni mpaka dola millioni 5 kutokana na eneo, wewe unatoka Geita unaweza kulipa hiyo hela
 
Mkinga hawezi kufikia uwekezaji wa mchaga kariakoo hata siku moja, wakati mkinga anainukia kwenye kuuza maduka mchaga ashakimbizana kujenga viwanda huko hivo unapofika step ya mchaga yeye anahama anawaachia madogo janja tu biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…