Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeanza hivi karibuni
Fyeka fyeka siyo?..wachaga eneo lao la kujidai lilikuwa Ubungo na Kimara, lakini mnajua nini kilitokea awamu iliyopita.
..kariakoo ni eneo la kujidai la Waarabu, Wahindi, na Wapemba.
..Wasomali wao wako maeneo ya Ilala, na Buguruni. Wapemba pia wapo kidogo huko.
Hahahahaa sukuma land ameishia wapi SasaKuna mmoja yeye alitaka nchi ya sukumaland
Yupo ila kapoaHahahahaa sukuma land ameishia wapi Sasa
Hana maana yeyote aendelee kupoaYupo ila kapoa
Sukumaland ilikuwa inaanzia wilaya ya BundaHana maana yeyote aendelee kupoa
👀Sukumaland ilikuwa inaanzia wilaya ya Bunda
Mpaka biharamulo
Wenzako wanakopa wananunua ghorofa kariakoo, na wanaolipa kwa rent za hapohapo, 25yrs loan.😂😂😂😂Hamna mpuuzi anakopa anunue ghorofa kkoo. Watu wanakopa wamiliki Mzigo mkubwa wa bidhaa au frame nyingi sio kununua ghorofa. Ghorofa linakata pesa chap.
1-4b ni pesa ya kudakia mali umafia wa mali, sio kumiliki ghorofa dakika chache unatoka mchezoni. Wanaomiliki maghorofa ni pesa yao kamili, cash, then sasa ndio anachukua mkopo, 800-900. Ni mwendo wa kuingiza tu, cnter za gsm na mapembelo cargo katikakati ya mji.
Sijakuelewa.Wenzako wanakopa wananunua ghorofa kariakoo, na wanaolipa kwa rent za hapohapo, 25yrs loan.
Wamiliki wa magorofa kariakoo ni akina nani, wahindi, wapemba, au wazaramo?Stori za vijiweni mikoani huko
Kariakoo hata siku moja haiwezi kuwa ya waporipori
Matapangishwa maduka tu , muwadanganye walugaluga wenzenu mna miliki gorofa zima
Wewe umeishi Dar maisha yako yote?Wamiliki wa magorofa kariakoo ni akina nani, wahindi, wapemba, au wazaramo?
Wewe umeishi Dar maisha yako yote?
Kama ndio basi utajua waliokuwa wanamiliki zile nyumba za tope Kariakoo ni kina nani
Na wakati zinaanzaa kuuzwa miaka ya 90 hao wakinga walikuwa bado wanalima mtama huko maporini na wachaga walikuwa mafundi saa na wapiga viatu rangi mjini
Sasa ni nani alikuwa na hela ya kununua hizo tembe zaidi ya waarabu, wahindi na wasomali ambao walikuwa tayari wanaishi na kufanaya biashara Kariakoo tokea 19 kweusi?
Ishu ni uporipori au ishu ni pesa ?hivi nikitoka zangu porini geita na pesa za madini nataka kununua gorofa kariakoo kuna atakaenizuia kisa nimetoka porini?Stori za vijiweni mikoani huko
Kariakoo hata siku moja haiwezi kuwa ya waporipori
Matapangishwa maduka tu , muwadanganye walugaluga wenzenu mna miliki gorofa zima
Tatizo uporipori unakuja kwenye, hapo unaposema unataka kuuziwa gorofaIshu ni uporipori au ishu ni pesa ?hivi nikitoka zangu porini geita na pesa za madini nataka kununua gorofa kariakoo kuna atakaenizuia kisa nimetoka porini?
Wakinga wapo on topwachaga watabaki juu daima.
kama unabisha njoo N.A