Operation ya vinyama puani na tonses

mkulubule

Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
70
Reaction score
45
Mwanangu anamiaka mitatu kasoro anasumbuliwa na hayo matatizo toka ana mwaka na nusu, ametumia sana antibiotics zinaisha nakurudi, sasa anatakiwa atolewe kwa ushauri wa daktari,

Naomba msaada wa hospital yenye dokta mzuri wa maswala hayo mwenye kujua please.
 
Kwa Dodoma muone Dr Bukanu pale general hospital
 
 
nenda KCMC mdogo wangu kafanyiwa operations mara3 ya ayo manyama ni hatari sana kwa mtoto
 
Other clumps of lymphoid tissue are found in many parts of the body, especially in the linings of the digestive tract, airways, and lungs—territories that serve as gateways to the body. These tissues include the tonsils, adenoids, and appendix.

Mkuu tonsils ni moja ya sehemu ambayo kinga za mwili wa binadamu zinakaa, kufanya operation ya kuziondoa iwe ni jaribio la mwisho baada ya tiba zote kukosekana.
 
upo wapi mkuu
 
Dr Gilyoma wa bugando, wa kwangu alifanyiwa hiyo op akiwa na miaka 3, now ana 12yrs hazijawahi kurudi tena
 
Nenda Regency... Mie mwanangu alifanyiwa hapo alikuwa na mwaka mmoja na miezi mitatu tu na yupo fresh tu...
 
Enika anapatikana Hospitali ya Sanitas Mikocheni kila ijumaa saa kumi
Dr Kimario ana private klinik pia msasani namanga pale madukani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…