- Thread starter
- #21
nashkuru snDr Edwin ni dr mzuri wa E N T alimfanyia mtoto wangu operation 2014 yupo poa mpk sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nashkuru snDr Edwin ni dr mzuri wa E N T alimfanyia mtoto wangu operation 2014 yupo poa mpk sasa.
Kama mdau alivyosema daktari bingwa muhimbili itakuwa vizuri zaidi.Waone Madokta bingwa -Enica au Kimario Muhimbili klinik ya E.N.T
thank a lot dear.Kama mdau alivyosema daktari bingwa muhimbili itakuwa vizuri zaidi.
Case yako inaonekana inahitaji dr. Bingwa kwa sababu tonsils na nyama za pua ni operation mbili tofauti.
Kama una kadi ya bima au AAR kuondokana na foleni za muhimbili nenda agha khan. Ulizia professor Moshi. Anafanya muhimbili ila jioni anakuwa agha khan.
All the best. Kwa mtoto the earlier the operation the better.
Mwanangu anamiaka mitatu kasoro anasumbuliwa na hayo matatizo toka ana mwaka na nusu, ametumia sana antibiotics zinaisha nakurudi, sasa anatakiwa atolewe kwa ushauri wa daktari,
Naomba msaada wa hospital yenye dokta mzuri wa maswala hayo mwenye kujua please.
Mwanangu anamiaka mitatu kasoro anasumbuliwa na hayo matatizo toka ana mwaka na nusu, ametumia sana antibiotics zinaisha nakurudi, sasa anatakiwa atolewe kwa ushauri wa daktari,
Naomba msaada wa hospital yenye dokta mzuri wa maswala hayo mwenye kujua please.
kila dr. anasema lake,kwamba ni alerg ,wengne vitu vya baridi , mara hiyo inawatokea sn hasa watu wenye historia ya kuumwa pumu, ah basi mi huwa sielewi kabisaa.Halafu haya ndio yameibuka sana matatizo kwa watoto sijui yanaletwa na nini katika hizi zama. Kila mtoto anakuwa na vinyama vya puani..Majanga.
ni pm nikupe namba ila kwa edwin sikushauri sana mkuu alisha nitenda kwa mwananguahsante sana huyo Enica anapatikana hata AAR? please kama unamawasiliano ya hao naomba tafadhali.
Mkuu watakuwa wanataka kutoa polyps(hivyo vinyama) na siyo tonsils.Other clumps of lymphoid tissue are found in many parts of the body, especially in the linings of the digestive tract, airways, and lungs—territories that serve as gateways to the body. These tissues include the tonsils, adenoids, and appendix.
Mkuu tonsils ni moja ya sehemu ambayo kinga za mwili wa binadamu zinakaa, kufanya operation ya kuziondoa iwe ni jaribio la mwisho baada ya tiba zote kukosekana.
Kuna dr kcmc aliwahi kunieleza kuwa nasol drops na harufu kali za marashi kwa akina mama wakati wakunyonyesha nayo pia inachangia hizo shida.Halafu haya ndio yameibuka sana matatizo kwa watoto sijui yanaletwa na nini katika hizi zama. Kila mtoto anakuwa na vinyama vya puani..Majanga.