Operation ya vinyama puani na tonses

Waone Madokta bingwa -Enica au Kimario Muhimbili klinik ya E.N.T
Kama mdau alivyosema daktari bingwa muhimbili itakuwa vizuri zaidi.

Case yako inaonekana inahitaji dr. Bingwa kwa sababu tonsils na nyama za pua ni operation mbili tofauti.

Kama una kadi ya bima au AAR kuondokana na foleni za muhimbili nenda agha khan. Ulizia professor Moshi. Anafanya muhimbili ila jioni anakuwa agha khan.

All the best. Kwa mtoto the earlier the operation the better.
 
thank a lot dear.
 
Halafu haya ndio yameibuka sana matatizo kwa watoto sijui yanaletwa na nini katika hizi zama. Kila mtoto anakuwa na vinyama vya puani..Majanga.
 
KCMC wako poa...mimi wangu alitibiwa KCMC na sijaona hilo tatizo hadi leo.
 
Halafu haya ndio yameibuka sana matatizo kwa watoto sijui yanaletwa na nini katika hizi zama. Kila mtoto anakuwa na vinyama vya puani..Majanga.
kila dr. anasema lake,kwamba ni alerg ,wengne vitu vya baridi , mara hiyo inawatokea sn hasa watu wenye historia ya kuumwa pumu, ah basi mi huwa sielewi kabisaa.
 
Mkuu watakuwa wanataka kutoa polyps(hivyo vinyama) na siyo tonsils.
 
Halafu haya ndio yameibuka sana matatizo kwa watoto sijui yanaletwa na nini katika hizi zama. Kila mtoto anakuwa na vinyama vya puani..Majanga.
Kuna dr kcmc aliwahi kunieleza kuwa nasol drops na harufu kali za marashi kwa akina mama wakati wakunyonyesha nayo pia inachangia hizo shida.
 
Huo tatizo mtu mkubwa anaweza kupata kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…