Operation za uzazi

Operation za uzazi

Sababu za cesarean section
_mtoto kupata shida tumboni (fetal distress)
_mtoto kukaa vibaya (malpresentation, malposition)
_maumbile yasiyo ya kawaida ya mtoto
_mtoto kuwa na uzito mkubwa
_Nyonga ya mama kuwa ndogo
_kuvuja damu (antenatal bleeding)
 
1.fashion
2.Imani potofu,wanaogopa kutanua uke.
3.Uvivu.,hamna zoezi.
4.Vyakula
5.Kuokoa maisha ya mama na mtoto.
Namba 2 ina ukweli?Mbona unaweza kuta mwanamke aliyezaa uke uko OK lakini binti ambaye hajazaa ana miaka 22 uke umetanuka kupita kiasi?Ni Imani potofu au hawajaelimishwa?Fashion ya kupasuliwa na kisu,je kama itabidi apate watoto 4 itakuwa kila uzao ni kisu?Hii ni hatari sana.Waelimishwe kizazi hiki ambacho kinaelekea kupotoka.Mazoezi kweli wengi wao siku hizi hawafanyi.Akiwa mjamzito basi yeye na mkeka,kuzogoa na kudanganyana,kuseti nywele muda wote na kula kula vyakula artificial.Mimba ya miezi mitatu tu unakuta yupo hoi.Kazi yoyote hashiki achilia mbali kuzifanya.Hata yale majukumu ya kikubwa na mwenza/partner wake yanapuuzwa kabisaaaa.Wakati wazee wetu wa miaka 47 hata kama mama amebaki mwezi mmoja kuzaa wanashiriki tendo la ndoa.Lakini kizazi hiki cha digitali hakitaki shida,bali ukiwa ndio mhusika wa mimba utasumbuliwa kununua vitu chungu nzima vya kipuuzi puuzi mara dela,mara skuna,mara amarula,mara nyama ya ngamia,mara juice tende,mara saladi kutoka wall mart nk,mradi usasa mtindo moja.Je,operation wakati wa kuzaa zitaepukika kweli?HAPA KUNA HAJA YA ELIMU YA NGUVU KUTOLEWA KWA KIZAZI HIKI CHA KIDIJITALI KUHUSU MAMBO YA UZAZI.
 
Mkuu umesema ukweli kabisaaa
 
Sababu za cesarean section
_mtoto kupata shida tumboni (fetal distress)
_mtoto kukaa vibaya (malpresentation, malposition)
_maumbile yasiyo ya kawaida ya mtoto
_mtoto kuwa na uzito mkubwa
_Nyonga ya mama kuwa ndogo
_kuvuja damu (antenatal bleeding)
Bila shaka utakuwa mtaalamu wa masuala ya tiba.
 
Kingine mabinti wengi wanaogopa aibu ya kupush sababu ya kurukwa ukuta,matokeo yake wanakimbilia kuseti appointment mapema.
 
Umewaza mbali sana mkuu, na inawezekana kabisa
 
Ni kweli nisemacho dada yangu,asilimia kubwa ya mabinti wanaofanyiwa operation sio kwa sababu za kiutaalamu ila ni uoga,wengine wanaogopa aibu hiyo niloyosema na wengine wanaogopa uchungu au kutanuka uke...
 
Dah me cjaolewa wala cjazaa wala cjui nipoje huko ndani ila kupush mm ctoweza daman[emoji22]
 
Wache wazae kwa njia wanazohisi/dhani ni salama kwao......

Kuzaa kawaida sio shujaa na operation sio sifa....
 
Ni kweli nisemacho dada yangu,asilimia kubwa ya mabinti wanaofanyiwa operation sio kwa sababu za kiutaalamu ila ni uoga,wengine wanaogopa aibu hiyo niloyosema na wengine wanaogopa uchungu au kutanuka uke...
Utandawazi umevuruga tamaduni na taratibu zetu, hali ni mbaya kiukweli
 
Ahsanteni wadau kwa maoni na ushauri wa kitaalamu lakini kwanini matabibu wasizingatie weredi wa kazi yao kuliko kufuata shinikizo la wateja waliowengi.
 
Back
Top Bottom