Opereshen vs tendo la ndoa

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,422
Reaction score
7,350
Dr naomba kujua madhara ya mwanamke kufanya tendo la Baada ya mwez mmoja wa opereshen ya uzazi
»Nina mchumba wangu kafanyiwa opereshen tr 8 april,ss mimi sikuwepo nilikua nje ya nchi kidogo,nimerud jana tr 13 may,tulipokutana akaniambia amenimis na anataka tufanye tendo la ndoa,kanilazimisha mpaka tukafanya km round 4,ghafla round ya 4 akaanza kusikia maumivu,sbb round hii tulitumia stail ya kifo cha mende,
~utata sasa~
Kuna dr niliwai ongea nae akaniambia tendo linaruhusiwa mara tu kidonda kikikauka,je kwanini utasikia mpaka baada ya miez sita,,
Angalizo alifanyiwa opereshen kubwa kutoka ktk kitovu kushuka chini sababu mimba ilitunga ktk mirija[ectopas pregnat}
Alishanwa usawa wa kitovu kushka chini
 
Dah! humuonei hata huruma mwenza wako ?? yani mwezi mmoja tu wa operation ndio umemgalagaza hivyo bila shaka utakua umefumua mshono ndio maana anasikia maumivu.
 
Dah! humuonei hata huruma mwenza wako ?? yani mwezi mmoja tu wa operation ndio umemgalagaza hivyo bila shaka utakua umefumua mshono ndio maana anasikia maumivu.

Maumivu yameshapoa,je kama inatokea anapata ujauzito inakuaje
 
Round 4 tena kwa mgonjwa? "Ulikuwa unatafuta nini humo?Je, sasa huna hamu tena? Unajuwa kuna kiu nyingine ni za kupunguza tu maana huwa haziishi. Subiri waje wenye taaluma zao wakupe abc lakini mlichofanya sio haki kabisa..labda kama round zenyewe ni dk 2 maana kuna wenine akiweka tu tayari...wengine dk 10 hadi 20 sasa x 4???
 
kwanza nianze na kileunachosema Dk.mmoja alikuambia kuwa maadamu kovu likikauka hii inaweza kuwa hatari sababu hata kama ngozi kwa juu inaonyesha imekauka lakini muscles za ndani hpona taratibu sana hivyo inachukua muda mrefu kurudi hali ya uimara ndo maana operation nyingi kubwa unashauriwa usifanye kazi ngumu mpaka baada ya miezi kufanya muscles na viungo vingine kuimarika zaidi na kurudi kama mwanzo.

Kawaida inatakiwa kukaa wiki sita bila kufanya tendo la ndoa ili kutoa muda kidonda kupona na ili damu zinazokuwa zikivuja kutokana na majeraha ya operation kukauka.Japo hii hutegemea vidonda vingine vikipata infection yaweza hitaji muda zaidi.

madhara ni kama hayo anaweza kupata maumivu makali baada ya kutonesha kidonda kwa ndani,nyuzi pia zaweza achia kama pressure inakuwa kubwa kutokana na kugandamizwa sana,vingenevyo kama maumivu yakiendelea zaidi mrudishe hosp.aliyofanyiwa hiyo operation.

pia punguza kujituma kaka mnaweza mkafanya michezo michezo mingine na kumpa mwenzio muda wa kupona vizuri.
 
Kweli wewe kiboko round 4 mwezi mmoja wa operesheni hata kidonda hakijapona sawasawa.
 
mchumba=kesha kuzalia mtoto?!!!!!!....no wonder umeweza kufanya tendo la ndoa na mgonjwa. you can't read between the lines.
 

Zilikua fupifupi, ya 4atukumaliza ndo ilikua ndefu
 

Nashukuru kwa ushauri sitofanya nae tena hata alie machozi ya damu,
 
mchumba=kesha kuzalia mtoto?!!!!!!....no wonder umeweza kufanya tendo la ndoa na mgonjwa. you can't read between the lines.

Ajanizalia bado, ndo hiyo mimba imetolewa ili kumpa mama maisha sbb ilitunga katika mirija ya uzazi,ikapelekea tatizo la upungufu wa damu
 
Hahahah!
Mie nilifikiri kajifungua.
Hakuna pingamizi.
As long as she is comfortable, go ahead and enjoy.
 
Thanx,nitavuta miez mi3
Tatizo ulianza kwa kazi sana.
ungempeleka pole pole kwanza ajipime hali yake, halafu akimudu ndiyo dozi inaongezeka.
Healing process takes time. na inatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine, na aina ya mshono alionao.
kuna wengine anafanyiwa operesheni kama hiyo, na siku anayokuja kutoa nyuzi anakuuliza "je, naruhusiwa kukutana na mume wangu", imagine 7-10 after operation.
Jibu lake huwa ni fupi tu" as long as she is comfortable, aendelee". wengine wanaugulia maumivu hata miezi mitatu, na hasa wale ambao ni obese, umri mkubwa, na kama walishawahi kufanyiwa tena operesheni kubwa kama hiyo.
Kwa hiyo inategemea mtu na mtu.
After all, kitendo hiki ni sehemu ya mazoezi ya viungo, 'hahahahahahhhh'
 

Ahsante,kwa nje amekauka,na nyuzi alishatoa mdaa,nimependa uliposema ni km zoez la viungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…