Opereshen vs tendo la ndoa

Ajanizalia bado, ndo hiyo mimba imetolewa ili kumpa mama maisha sbb ilitunga katika mirija ya uzazi,ikapelekea tatizo la upungufu wa damu

Ok ndugu. Hata hivyo huyo mchumba ana wivu sana...madaktari hushauri at least baada ya miezi kadhaa minne hadi sita. Yeye mmoja tu kakuparamia...!!!!
 
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.....nageuka mac-regan nawaambia endeleaaaa.
 
»nilikua nje ya nchi kidogo,tulipokutana akaniambia amenimis na anataka tufanye tendo la ndoa,kanilazimisha mpaka tukafanya km round 4,tulitumia stail ya kifo cha mende

For promotional use only.
 
Kwani ungesema hukuwepo haingetosha mpaka useme ulikuwa nje ya nchi! Acha upimbi wewe
 
Uuuuw you people control your desires..
 
Kwani ungesema hukuwepo haingetosha mpaka useme ulikuwa nje ya nchi! Acha upimbi wewe

Dogo kwanini umepanic,nyie ndo mnasababisha JF hionekane haina mana,toa hoja
 
Duuuuuuuu!!!!!!!!!!! uroho mwingine balaaaaaa
 
na huyu mwanamke naye!!!!! kwani mp inakuwa imeisha kwa mwezi mmoja jamani? na wewe kaka 4times!!that was too much, fuata taratibu za kuoa bwana acha kukengeuka coz hiyo ni dhambi
 
na huyu mwanamke naye!!!!! kwani mp inakuwa imeisha kwa mwezi mmoja jamani? na wewe kaka 4times!!that was too much, fuata taratibu za kuoa bwana acha kukengeuka coz hiyo ni dhambi

Alipata MP kama kama,nimeacha lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…