Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
analilia???
sawa endeleeni tu
sawa endeleeni tu
Pole dada naona umechukia,yeye alikua alilia nikamuonea huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole dada naona umechukia,yeye alikua alilia nikamuonea huruma
Ajanizalia bado, ndo hiyo mimba imetolewa ili kumpa mama maisha sbb ilitunga katika mirija ya uzazi,ikapelekea tatizo la upungufu wa damu
hahaha!jamaa alikuwa kwenye mechi ya ugenini, kwa hiyo alikuwa anapambana ili apate ushindi ugenini.Mkuu Maubero, nadhani jamaa aliamua kucheza mechi na sio mazoezi....
.Shemej yenu mbishi sana
»nilikua nje ya nchi kidogo,tulipokutana akaniambia amenimis na anataka tufanye tendo la ndoa,kanilazimisha mpaka tukafanya km round 4,tulitumia stail ya kifo cha mende
Dr naomba kujua madhara ya mwanamke kufanya tendo la Baada ya mwez mmoja wa opereshen ya uzazi
»Nina mchumba wangu kafanyiwa opereshen tr 8 april,ss mimi sikuwepo nilikua nje ya nchi kidogo,nimerud jana tr 13 may,tulipokutana akaniambia amenimis na anataka tufanye tendo la ndoa,kanilazimisha mpaka tukafanya km round 4,ghafla round ya 4 akaanza kusikia maumivu,sbb round hii tulitumia stail ya kifo cha mende,
~utata sasa~
Kuna dr niliwai ongea nae akaniambia tendo linaruhusiwa mara tu kidonda kikikauka,je kwanini utasikia mpaka baada ya miez sita,,
Angalizo alifanyiwa opereshen kubwa kutoka ktk kitovu kushuka chini sababu mimba ilitunga ktk mirija[ectopas pregnat}
Alishanwa usawa wa kitovu kushka chini