Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Na watu wake woteMungu ibariki Chadema
Kwanini nyie wana CCM hampendi siasa za majukwaani au ni uwezo mdogo?🤣🤣🤣🤣
Haki katika katiba tu ya NCHI?
Ile Katiba ya CHADEMA ambayo ilikuwa inasema "MWENYEKITI atakuwa na vipindi viwili vya jumla ya miaka 10" ilibadilishwa kwa RIDHIO LA WANACHADEMA WOTE bila ya manung'uniko ya chinichini eeee?🤣🤣
Msipopewa kibali na POLISI mtafanya mikutano yenu ya hadhara?
Au mnataka yale yaliyotokea "Temeke" yajirudie?
Duuuh!
Rest easy JPM ,amen!
#KaziIendelee
Silly thinking and reasoningVyama vingine kama Chauma, TLP, ACT, NCCR na CCM wakianza siasa za majukwaani na mikutano kama hii kula siku mnafikiri kazi itafanyika saa ngapi?
Vyama vingine kama Chauma, TLP, ACT, NCCR na CCM wakianza siasa za majukwaani na mikutano kama hii kula siku mnafikiri kazi itafanyika saa ngapi?
Silly thinking and reasoning
Ni vyema unakubali uchumi ulikuwa unakua kwq 7% then ukaanguka, ulipokuwa unakua kwa 7% ilikuwa ikitumika katiba hiyohiyo isiyofaa na kuanguka to 4.8% zipo sababu nyingi ikiwemo Covid 19 na nchi kuingia kwenye mtambuka wa kiuchumi ilipoamua kuhamishia nguvu kwenye ujenzi wa miundombinu ya kimkakati.Hivi kuna kipengele kwenye katiba kilichozuia mikutano ili kazi ifanyike? Miaka mitano yule dhalimu mwendazake alizuia mikutano na maandamano kwa kisingizio kazi ifanyike lakini hakuna kazi yoyote iliyofanyika. Ajira nchini hakuna, Wafanyakazi, Wafanyabishara na Wakulima wote wanalia na uchumi uliokuwa unakuwa kwa 7% Sasa umeanguka hadi 4.8% . Acheni kutafuta visingizio visivyo na kichwa wala miguu ili kuzuia upatikanaji wa Katiba mpya? Hivyo vyama ulivyovitaja vina uwezo wa kufanya mikutano nchini? Vina wafuasi? Hebu viitishe mikutano tuone kama vitapata hata watu 20.
Ni vyema unakubali uchumi ulikuwa unakua kwq 7% then ukaanguka, ulipokuwa unakua kwa 7% ilikuwa ikitumika katiba hiyohiyo isiyofaa na kuanguka to 4.8% zipo sababu nyingi ikiwemo Covid 19 na nchi kuingia kwenye mtambuka wa kiuchumi ilipoamua kuhamishia nguvu kwenye ujenzi wa miundombinu ya kimkakati.
Hivyo vyama vingine unavyovidharau ndivyo ambavyo kila uchaguzi mnaungana na kutengeneza ukawa lakini leo unatukana wafuasi wao (ukosefu wa shukrani), hao hao wanachama wao wasiodhidi 20 nao wakiamua kuwa busy na mikutano na makongamano tayari ni nguvu kazi hiyo inapoteza muda. CCM nayo yenye wanachama zaidi ya 10m nchi nzima ikiamua mikutano na makongamano kila kukicha unafikiri nani ataenda shamba kulima.
Kupitia katiba hiyo hiyo kila siku mnashiriki chaguzi, mkishindwa katiba mbovu, mkishinda basi chama chenu kinakuwa kinakubarika.
Siku ukijua FM, ZZK, PM nk wote mwajili wao ni mmoja unaweza kuzimia mara saba, ngoja niishie hapa tuwaachie wenyewe.Ila huyu mwamba atakuja kukumhukwa kwa vizazi na vizazi kwa kuongoza mapambano na kukataa kununuliwa na ccm kama walivyo viongozi wa vyama vingine
uongo wa kishamba sana !Siku ukijua FM, ZZK, PM nk wote mwajili wao ni mmoja unaweza kuzimia mara saba, ngoja niishie hapa tuwaachie wenyewe.