Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Hili jizi katili linateseka sana yaani hakuna linalobadilika watu wamemhomea kabisaa hamna jipyaaIle Operesheni iliyotikisa nchi kwa kuhamasisha wananchi juu ya umuhimu wa katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, ambayo ishatikisa na kuamsha watu wa mikoa 24, sasa imeingia kwenye mkoa wa DSM huku wakazi wake wakisubiri kwa hamu bila kuchoka.
Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ataongoza mashambulizi bila kuchoka.