Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Hili jizi katili linateseka sana yaani hakuna linalobadilika watu wamemhomea kabisaa hamna jipyaaIle Operesheni iliyotikisa nchi kwa kuhamasisha wananchi juu ya umuhimu wa katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, ambayo ishatikisa na kuamsha watu wa mikoa 24, sasa imeingia kwenye mkoa wa DSM huku wakazi wake wakisubiri kwa hamu bila kuchoka.
Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ataongoza mashambulizi bila kuchoka.
Kwi Kwi KwiHili jizi katili linateseka sana yaani hakuna linalobadilika watu wamemhomea kabisaa hamna jipyaa
Hebu tunong'oneze vizuri mkuuSiku ukijua FM, ZZK, PM nk wote mwajili wao ni mmoja unaweza kuzimia mara saba, ngoja niishie hapa tuwaachie wenyewe.
Amina sana.Na watu wake wote
Hivyo vyama vingine mbali na chadema hakuna mtu wa kupoteza mda kuja kuvisikiliza ndo mana kwa kulitambua hilo wako kimyaVyama vingine kama Chauma, TLP, ACT, NCCR na CCM wakianza siasa za majukwaani na mikutano kama hii kula siku mnafikiri kazi itafanyika saa ngapi?
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalimu akiingia kwenye kikao cha majadiliano mkoa wa kichama IlalaMurilo mbna anafeli kazi