Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
HakikaTozo + operesheni haki = kifo cha CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaTozo + operesheni haki = kifo cha CCM
😆😆😆Ukiona wanaanza kukimbizana na mapolisi na mabomu ya machozi ujue hali yao ni tete, operation inafanyika vizuri utumbo wao uko nje ndio maana wanahangaika, nawashauri tu watulie madokta tunakaribia kumaliza tuwafunge kidonda, halafu tuwaandikie tarehe ya kuja kutoa nyuzi.
Mkuu hii ndege ni ya abiria ya biashara au ya matumizi ya viongoz au bnafsCHADEMA ni taasisi inayoongozwa na viongozi wapuuzi na mediocres sana! Ajenda za mlipuko kama hizi za Katiba na Tozo za miamala haziwezi kujenga CHADEMA!
Pangeni namna ya kuijenga CHADEMA kama taasisi imara kiuongozi,kiuchumi then ndo mnaweza kupambana na CCM.
Katika hali ya utulivu CHADEMA haina uongozi imara kama taasisi, haina Ajenda za muda mrefu na ni taasisi dhaifu sana kiuchumi!
Hii ndo sababu CHADEMA inawekeza sana kwenye siasa za matukio kwani watu wajinga wengi ( zaidi ya asilimia 70) wanapenda sana matukio!
Tatizo ambalo viongozi wengi wa CHADEMA kwa sababu ya ujinga wao hawalijui ni kwamba wajinga wengi ( zaidi ya asilimia 70) wanaopenda matukio huwa hawadumu na hayo matukio muda mrefu !
Watashabikia issues za Katiba na Tozo za miamala ndani ya wiki 2_then wanakosa nayo appetite na kutaka tena matukio mapya! CHADEMA mtachukua miongo mingi sana kujifunza na siasa zenu kuleta tija kwa Taifa!!!!
Mkuu hii ndege ni ya abiria ya biashara au ya matumizi ya viongoz au bnafsView attachment 1858616
una uwezo mdogo sana !Ndio maana nasema CHADEMA imejaza vijana wengi wajinga wasio na ubunifu wowote baada ya kuhitimu elimu ya kukariri! Huwezi kuipangia Serikali nini cha kufanya bila wewe kuwa na facts zozote! Hiyo ndege ni Mali ya Serikali ya JMT sasa wewe unajua kwa nini wametumia hiyo ndege kwa Shughuli za Serikali?! Wangetumia kodi zetu kukodi ndege KenyaAirways ungesema nini sasa!
Nyie endeleeni na harakati zenu za kijinga chini ya viongozi wenu wajinga kuhusu Katiba na Tozo za miamala! Kumbukeni mnapoteza muda na umri wenu unakwenda!
Tutaendelea kusapoti kila mtu mwenye nia njema na Taifa hiliTaarifa ya sasa duniani na hasa baada ya ccm kurudia makosa yale yale ya miaka yote , ya kukubali kushindwa hoja na kuamua kulitumia Jeshi la polisi kudhibiti Chadema badala ya viongozi wake wa chama akiwemo Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa uenezi na itikadi , zinadokeza kwamba hii Operesheni haki inayoendelea japo ni ya vikao vya ndani imeivuruga kabisa ccm na serikali yake kuliko hata operesheni Sangara ile ya miaka ya 2012 iliyokuwa inafanyika hadharani.
"Ubaya" uliogundulika wa operesheni haki hata kama ni vikao vya ndani ni uwepo wa CHADEMA DIGITAL , ambayo mpaka sasa inasemekana 70% ya vijana wanaojitambua na wasomi wanaitumia , imefanya kazi ya kampeni za operesheni haki ziwe nyepesi mno , IKUMBUKWE KWAMBA VIJANA WASOMI WENGI WA TANZANIA HAWAKUAJIRIWA KWA MIAKA 6 SASA , hii imekuwa ushahidi wa wazi kwa vijana wengi kuthibitisha kushindwa kwa CCM katika kuboresha maisha yao
View attachment 1858513
Habari hii ya moto wa Operesheni haki ndio iliyosababisha shida yote hii kwenye kogamano la Katiba mpya huko Mwanza .
Itaendelea...
Hivi bado kuna Wana Chadema wenzenu wanawaamini na porojo uchwara zenu? Eti mmeivuruga CCM wakati huohuo unaweka picha za Dk. Slaa?Maofisa mipango wa Chadema ni hatari mno ! ccm hoi bin taaban, imebaki polisi.
Picha za juu za Mwamba Mbowe na Mamluki Dr Slaa ni za operesheni sangara huko kilombero mwaka 2012 wakati ule ccm haikuogopa siasa za majukwaani.Hivi bado kuna Wana Chadema wenzenu wanawaamini na porojo uchwara zenu? Eti mmeivuruga CCM wakati huohuo unaweka picha za Dk. Slaa?
Chadema ina watualiyekupanga kitengo cha propaganda chadema jf, alipiga hesabu zake vyema.
kazi unaifanya,wasipokulipa ni roho mbaya tu.
Kama inakuuma ichomoeUtopolo!
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. Bila mitutu ya bunduki za polisi CCM hii ni sawa na TLP ya MremaCHADEMA ni taasisi inayoongozwa na viongozi wapuuzi na mediocres sana! Ajenda za mlipuko kama hizi za Katiba na Tozo za miamala haziwezi kujenga CHADEMA!
Pangeni namna ya kuijenga CHADEMA kama taasisi imara kiuongozi,kiuchumi then ndo mnaweza kupambana na CCM.
Katika hali ya utulivu CHADEMA haina uongozi imara kama taasisi, haina Ajenda za muda mrefu na ni taasisi dhaifu sana kiuchumi!
Hii ndo sababu CHADEMA inawekeza sana kwenye siasa za matukio kwani watu wajinga wengi ( zaidi ya asilimia 70) wanapenda sana matukio!
Tatizo ambalo viongozi wengi wa CHADEMA kwa sababu ya ujinga wao hawalijui ni kwamba wajinga wengi ( zaidi ya asilimia 70) wanaopenda matukio huwa hawadumu na hayo matukio muda mrefu !
Watashabikia issues za Katiba na Tozo za miamala ndani ya wiki 2_then wanakosa nayo appetite na kutaka tena matukio mapya! CHADEMA mtachukua miongo mingi sana kujifunza na siasa zenu kuleta tija kwa Taifa!!!!
CCM ni kusanyiko la wapumbavuUnaona wajinga kama hawa ndo think tanks za CHADEMA! Alafu huyu ni Godbless Lema! CHADEMA ni lichama la kijinga sana!
Lea mimba hiyo wewe haya hayakuhusuUnapoona hizo picha hapo juu za enzi za dr slaa alafu ukifananisha na utopolo huu wa chadema wa siku hizi unabaki kusikitika tu
CCM imejaza vijana mataahira wasijitambuaNdio maana nasema CHADEMA imejaza vijana wengi wajinga wasio na ubunifu wowote baada ya kuhitimu elimu ya kukariri! Huwezi kuipangia Serikali nini cha kufanya bila wewe kuwa na facts zozote! Hiyo ndege ni Mali ya Serikali ya JMT sasa wewe unajua kwa nini wametumia hiyo ndege kwa Shughuli za Serikali?! Wangetumia kodi zetu kukodi ndege KenyaAirways ungesema nini sasa!
Nyie endeleeni na harakati zenu za kijinga chini ya viongozi wenu wajinga kuhusu Katiba na Tozo za miamala! Kumbukeni mnapoteza muda na umri wenu unakwenda!
Tatizo nyie vibaka wa uvccm ni wavivu wa kusoma,ungesoma mada na jinsi ilivyohusisha hizo picha za operesheni Sangara usingeandika huu upumbavu wako, ndiyo maana mnashindwa mitihani hamsomi swali na kulielewa.Hivi bado kuna Wana Chadema wenzenu wanawaamini na porojo uchwara zenu? Eti mmeivuruga CCM wakati huohuo unaweka picha za Dk. Slaa?
Ni kweli ni wavivu, ila ukija uchaguzi uwe wa mitaa, udiwani ubunge au urais wanaupiga mwingi hadi mnapoteana! Ahahahahahahahah!!!!Tatizo nyie vibaka wa uvccm ni wavivu wa kusoma,ungesoma mada na jinsi ilivyohusisha hizo picha za operesheni Sangara usingeandika huu upumbavu wako, ndiyo maana mnashindwa mitihani hamsomi swali na kulielewa.