Operesheni Haki yaiharibu CCM nchi nzima, wachambuzi wa siasa waifananisha na Operesheni Sangara ya 2012

Ukiona wanaanza kukimbizana na mapolisi na mabomu ya machozi ujue hali yao ni tete, operation inafanyika vizuri utumbo wao uko nje ndio maana wanahangaika, nawashauri tu watulie madokta tunakaribia kumaliza tuwafunge kidonda, halafu tuwaandikie tarehe ya kuja kutoa nyuzi.
 
😆😆😆
 
Mkuu hii ndege ni ya abiria ya biashara au ya matumizi ya viongoz au bnafs
 
Ndio maana nasema CHADEMA imejaza vijana wengi wajinga wasio na ubunifu wowote baada ya kuhitimu elimu ya kukariri! Huwezi kuipangia Serikali nini cha kufanya bila wewe kuwa na facts zozote! Hiyo ndege ni Mali ya Serikali ya JMT sasa wewe unajua kwa nini wametumia hiyo ndege kwa Shughuli za Serikali?! Wangetumia kodi zetu kukodi ndege KenyaAirways ungesema nini sasa!
Nyie endeleeni na harakati zenu za kijinga chini ya viongozi wenu wajinga kuhusu Katiba na Tozo za miamala! Kumbukeni mnapoteza muda na umri wenu unakwenda!

Mkuu hii ndege ni ya abiria ya biashara au ya matumizi ya viongoz au bnafsView attachment 1858616
 
una uwezo mdogo sana !
 
Tutaendelea kusapoti kila mtu mwenye nia njema na Taifa hili
 
aliyekupanga kitengo cha propaganda chadema jf, alipiga hesabu zake vyema.

kazi unaifanya,wasipokulipa ni roho mbaya tu.
 
Hivi bado kuna Wana Chadema wenzenu wanawaamini na porojo uchwara zenu? Eti mmeivuruga CCM wakati huohuo unaweka picha za Dk. Slaa?
Picha za juu za Mwamba Mbowe na Mamluki Dr Slaa ni za operesheni sangara huko kilombero mwaka 2012 wakati ule ccm haikuogopa siasa za majukwaani.

Hizo za Chini ni za Ustaadh Aboubakar Mbowe akiwa kwenye operesheni haki huko Unguja , wakati huu ambapo ccm imekaimisha majukumu yake kwa Jeshi la Polisi
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. Bila mitutu ya bunduki za polisi CCM hii ni sawa na TLP ya Mrema
 
CCM imejaza vijana mataahira wasijitambua
 
Hivi bado kuna Wana Chadema wenzenu wanawaamini na porojo uchwara zenu? Eti mmeivuruga CCM wakati huohuo unaweka picha za Dk. Slaa?
Tatizo nyie vibaka wa uvccm ni wavivu wa kusoma,ungesoma mada na jinsi ilivyohusisha hizo picha za operesheni Sangara usingeandika huu upumbavu wako, ndiyo maana mnashindwa mitihani hamsomi swali na kulielewa.
 
Tatizo nyie vibaka wa uvccm ni wavivu wa kusoma,ungesoma mada na jinsi ilivyohusisha hizo picha za operesheni Sangara usingeandika huu upumbavu wako, ndiyo maana mnashindwa mitihani hamsomi swali na kulielewa.
Ni kweli ni wavivu, ila ukija uchaguzi uwe wa mitaa, udiwani ubunge au urais wanaupiga mwingi hadi mnapoteana! Ahahahahahahahah!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…