Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ule mkakati kabambe wa kudai Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi, ukiambatana na usimikwaji wa Chadema Digital nchi nzima sasa umeingia Kanda nzito ya Nyasa, kwa kuanzia Mkoa wa Mbeya.
Ikumbukwe kwamba Mbeya ndio Mkoa ambao Chalamila alitokea kabla ya kupigwa laana na Wazee wa Kyela baada ya kukamata kijiji kizima kwa madai ya kumtupia mawe Mkuu wa Wlaya ya Kyela , na juzi kati akahamishiwa Mwanza na baada ya siku chache sana katimuliwa.
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.