Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Karibu sanaLets wait
Leo unanyatia wapi Mkuu!Lets wait
Usikalie habari, tuwekee na sisi hapa tukusaidie kuomba.Mungu ibariki Chadema daima, Kuna uzi nimekesha usiku nausoma daah nadhamiria kufunga usiku na mchana kuiombea Chadema japo kwa mwezi mara 4
Mkuu sitaki kusema sana najua nawe ule uzi umeusoma mpka ulicoment kwa neno hili "aisee"Usikalie habari , tuwekee na sisi hapa tukusaidie kuomba
Ahsante mkuu wa ukaribisho
Kamwimbo kanunu fijo!!!
Nimekukataza kuleta vi sredi mbuzi, umegangamala siyo?Ule mkakati kabambe wa kudai Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi, ukiambatana na usimikwaji wa Chadema Digital nchi nzima sasa umeingia Kanda nzito ya Nyasa, kwa kuanzia Mkoa wa Mbeya.
Ikumbukwe kwamba Mbeya ndio Mkoa ambao Chalamila alitokea kabla ya kupigwa laana na Wazee wa Kyela baada ya kukamata kijiji kizima kwa madai ya kumtupia mawe Mkuu wa Wlaya ya Kyela , na juzi kati akahamishiwa Mwanza na baada ya siku chache sana katimuliwa.
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.
View attachment 1815071
Hakika !Kamwimbo kanunu fijo!!!
Hebu tuwekee na sisi hapa kamanada tujikumbushe kidogoMkuu sitaki kusema sana najua nawe ule uzi umeusoma mpka ulicoment kwa neno hili "aisee"
alafu kuna mdau akakwambia ndio hivyo.
Nikiri wazi kuwa katika pilika zangu na kazi yangu nilikuwa naona nayafahamu mengi sana na mengine ya kutisha ila baada ya kusoma ule uzi usiku nilijiona mie ni kidagaa tu kumbe, na tokea hapo nikaona liwalo na liwe Mimi na Chadema hadi kufa haijalishi namtukia Shetani upande mwingine😭😭😭🤐🤐
Aisee huko sio hata kujikumbusha Bali unaweza jiuliza naishi Tanzania hii au kuzimu mkuu, maana kama ni uovu Basi watu wameutenda na wanasubiri malipo japo ukiwaona hutadhani.Hebu tuwekee na sisi hapa kamanada tujikumbushe kidogo
Namuona Sugu hapo pembeni ✌️✌️✌️mapokezi ya mwamba pichaniView attachment 1815335View attachment 1815334
Gari lishawaka !Namuona Sugu hapo pembeni ✌️✌️✌️